Kama wewe ndio mme wake......!

Kama wewe ndio mme wake......!

Yapo aisee, kuna mdada alikuwa analalamika na dilemma ya possible fathers 3. Alilalwa na wanaume watatu akiwa tilatila kwenye party. Tena na hii get together ya tanga, inabidi maxence aweke doria.

Kulewa na kutojielewa na kufanyiwa kitu mbaya ni another case. Lakini case hii ya kufanya mapenzi wa watu tofauti including mumeo, upate mimba then uende kwenye radio freely kabisa ukawakusanye wanaume uliofanya nao mapenzi muanze ku argue on air kila mtu akidai mtoto ni wake. UJINGA UJINGA.

Ha ha haaa, King'asti unawasi wasi safari ya Tanga itaproduce mimba za kutoshaa, JF people are responsible bwana, they will never do such.
 
Last edited by a moderator:
Ni stori ya kweli. Mkeo ni mjamzito wa miezi nane amekuaga anaenda kwa nduguzake, wewe ukabaki home umepumzika baadae ukiwa unasikiliza redio unamsikia mkeo live kwenye redio anabishana na wanaume wawili kua mimba aliyonayo si ya kwao kama alivyokua amewaambie hapo awali bali ni yako na wakabishana sana kila mwanaume akitoa ushaid wake na mmoja wao alikua akisoma nae chuo, na ukweli ni kua wote alitembeanao bila kuvaa kinga na mkeo anakiri wote alifanyanao mapenzi maana kila mmoja alidai mimba ni yake Je? Ungekua ni wewe ndio mme wake na huyo mwanamke ungechukua uamuzi gani? Ukizingatia wewe ulimuoa baada ya kukuambia ana mimba yako. Chanzo cha stori ni Clouds fm kwenye kipindi cha njia panda, kwa waliofuatilia tupo pamoja.

Ndo shida ya kuoa kisa mwanamke kapata mimba...avumilie tu ndo mke wake huyo
 
Hapa hakuna kingine zaidi ya kuchukua maamuzi sahihi ya kukata kamba kwani mwanamke kishaonyesha kuwa si mkweli katika mapenzi. Huyu ni kicheche na aliolewa kwa kuangalia wapi atapata faida zaidi lakini hana mapenzi ya dhati kama walivyo mademu wengi wa siku hizi hapa Bongo. Dawa yake ni kumwacha tu na kama huyo kichanga akibainika ni wako then unamchukua kwani ukimwachia yeye anaweza kumuua ukizingatia kila jamaa kamkataa huyo demu. Hivyo kwa hasira za kususwa anaweza fanya jamba baya kwa mtoto ili awe tena single aanze ukicheche wake aje pata jibaba lingine la kulidanganya. Tupilia mbali kicheche.

Hata mimi ndilo jibu lilinijia kama angekua my wife.
 
Bangi nyingine bwana! Baba yenu napita tu ingawa sipendezwi na stori ya uongo na uzushi. Go tell it to the birds.

Kama ni bangi itakua kwa hao walirusha kipindi hewani, mimi nimekop na kupesti tu ili kama wanaume tujiulize tutafanyaje kwa yaliyowakuta wenzetu, leo kwao kesho kwetu.
 
Niliyafuatilia yale mahojiano toka mwanzo paka mwisho, mbaya zaidi yul binti akaulizwa na mmoja kati ya wale jamaa wailikuwa studuio KWANINI UNATUCHANGANYA WANAUME WATATU KWA WAKATI MMOJA? Yule dada akajibu, KWASABABU NI MAZOBA. Nilichoka kwa hilo jibu Msemakweli ni DNA, ila binti ajatulia kabisaaaa

Yaani mimi nilijikuta nacheka tu huku najiuliza kama mme wake alkua akisikiliza kile kipindi maana yeye hakua studio.
 
huyo mwanamke na nini hadi watu wanganganie mimba jamani, kihalisia wangekua wanakataa sasa hawa wa ajabu kwa kweli
 
Huyo mume ni mbulula yupo tu kama nguo iliyoanikwa kambani...ukitaka unaianua, ukitaka unaianika tena

Usimcheke anaweza kua mkeo maana kwenye kipindi waliomba kutumia majina ambayo sio yao halisi.
 
Aisee yaani yule dada mcharuko noma! Ila nilishangazwa na yule aliyekuwa aking'ang'ania mimba na hali alishafahamishshwa kuwa mtoto akizaliwa wakapime DNA.

Hata mimi mkuu, huyo ndo aliniacha hoi sana, inaonekana aligharamia sana ndo mana alkua king'ang'anizi.
 
huyo mwanamke na nini hadi watu wanganganie mimba jamani, kihalisia wangekua wanakataa sasa hawa wa ajabu kwa kweli

Yaani nlivyokua naskiliza nlihisi kama ni adidh.
 
Kama ni mimi. Ntapiga simu moja kwa moja CLOUDS then hiyo ndo inakuwa TARAKA YAKE.
Ikishindikana kupata line ya simu basi ntamsubili na panga then nakaa getini. Akitokeza tu kichwa, mi namwambia simama hapo hapo, geuka nyuma hatua mbili mbele, ongeza tena mbili endelea kuongeza mpaka kwa hao waume zako uliokuwa nao CLOUDS FM
 
Back
Top Bottom