100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,733
- 30,456
Kama mtu anaweza kuua, kuteka, kusingizia kesi,, kuua maelfu ya watu tena wasio na hatia na hawajakosea lolote... je mtu wa namna hio anashindwa kufanya biashara ya kuuza cocaine?
Hivi kuna jambo gani gumu au uhalifu unaozidi utesaji na mauaji ya watu wasio na hatia...
Kwenye filamu ya El Chapo , Narcos Mexico, Joaquin Guzman kipindi yu kijana mdogo , ili kuthibitisha uaminifu wake kwa kiongozi wa genge la dawa za kulevya, anapewa mtihani akaue mtu, ni jambo gumu sana kisaikolojia na kihisia, lakini alitekeleza japo kwa kujikaza sana. Baada ya hapo akawa mzoefu.
Hii ina maana hata magenge ya kihalifu ya kuuza cocaine yanaelewa kipimo cha juu kabisa cha ukatili ni kuua mtu asiye na hatia. Wanaelewa fika ukiweza hilo basi biashara ya kuuza cocaine utaweza kuimudu. Hii ina maana muuaji ana roho ngumu kuliko muuza cocaine.
Kwanini ushangae muuaji akifanya biashara ya cocaine? kwanini ustuke kusikia mtu huyo anahusishwa na biashara haramu ?
Najaribu kujiuliza tu, sijamtaja mtu.