Kama wamemnasa Polepole, basi RIP

Kama wamemnasa Polepole, basi RIP

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,429
Japo wote ni chama kimoja, kinachoendelea kinaonyesha kuwa macc siyo binadamu hasa yanapoingiliwmaslahi yao au kufichuliwa uovu wao.

Kama kweli kilichotokea kwa Humphrey Polepole kilimhusisha, uwezekano wa kuwa marehemu ni mkubwa. Tujikumbushe walivyommaliza:
Edward Sokoine,
Horace Kolimba,
Imran Kombe,
Dkt. Omari Ali Juma,
na wengine wengi.

Je, Tesha ameipata hii? Kama ameipata, waliomtuma wanangoja yafike haya.

Kweli mtandao ni hatari.
 
Kinachoendelea kwenye hii nchi ni Mungu tu ndiye anayejua.
 
Japo wote ni chama kimoja, kinachoendelea kinaonyesha kuwa macc siyo binadamu hasa yanapoingiliwmaslahi yao au kufichuliwa uovu wao.

Kama kweli kilichotokea kwa Humphrey Polepole kilimhusisha, uwezekano wa kuwa marehemu ni mkubwa. Tujikumbushe walivyommaliza:
Edward Sokoine,
Horace Kolimba,
Imran Kombe,
Dkt. Omari Ali Juma,
na wengine wengi.

Je, Tesha ameipata hii? Kama ameipata, waliomtuma wanangoja yafike haya.

Kweli mtandao ni hatari.
Hawa wote uliorodhesha hakuna aliyeuawa na vyombo vya usalama. Ni mythy za vijiweni tu.
 
Kwahiyo mama anajiandikia rekodi yake?
1. Mdude
2. KIBAO
3. Chaula
4. Polepole

Hawa ni wale tunaowajua.
Mbona hii orodha ni ndogo sana. Kipindi kile Gwajima akisema ana orodha ya watu zaidi ya 80+!!!

Na tangu alipotoa hiyo orodha, mpaka sasa kuna kundi kubwa tu la wahanga wengine walio potezwa katika mazingira ya aina ile ile.
 
Chambo ya kupindua nchi inakuja
 
Akipatikana kwa nyakati hizi ni miujiza.

Nani ajuaye, si ajabu hili tukio likawa catalysts ya kuwafurisha watanzania na mambo yakaanza haraka haraka.
 
Nakumbuka wakati wa majaribu mazito mazito na saa za mwisho za kukamatwa kwa Bwana Yesu, alitoka kuomba kurudi alikowaacha wanafunzi wake akakuta wamelala. Akawaambia huu si muda wa kulala tena, muda umekwisha simameni muendelee kumwomba Mungu wenu maana saa zi karibu sana.

Na haikuchukua mda, jambo likatimia. Ndugu zangu hii tayari ishakuwa halamu. Ama tulale tuishe ama tusimame tujipiganie ...lah, giza laja
 
Hao ndiyo macc. Wanaanza kuuana na kuumbuana. Ndo mwanzo wa mwisho ila kwa watanzania, I doubt
 
Back
Top Bottom