Sote tunajua Zitto alitimuliwa Chadema kwa kudai haki yake Mahakamani, chakushangaza walewale wako mahakamani wakidai haki ileile iliyokuwa ikidaiwa na Zitto. Tena wamejisomba cabinet nzima. Kwahiyo walisharekebisha katiba yao au wanatumia busara ipi? Au kwa kuwa wanaemshitaki sio mwenzao? Je leo Makonda akiwaonyesha kadi yake ya chadema watafuta kesi?