katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Kukudekeza na kukuonyesha kuwa nakupenda siyo kigezo cha kuwa mwaminifu kwako, uaminifu ni kuonyesha heshima hata kipindi ambacho uko mbali na upeo wa macho yangu, gent ni tabia siyo show offZa usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye.
Kabisa je kwa upande wenu nilazima uolewe au uwe na gentlemen ndio maisha ya songe ??
Je nyie wanaume wa humu nyie ni magentlemen .
Eti mnajua kudekeza nakupenda muke au g.lover wako??
Because i have seen so far that wale wanaume wanaojua kuonyesha true love wamepungua na sijui why.
Haya bhanaKukudekeza na kukuonyesha kuwa nakupenda siyo kigezo cha kuwa mwaminifu kwako, uaminifu ni kuonyesha heshima hata kipindi ambacho uko mbali na upeo wa macho yangu, gent ni tabia siyo show off
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha wee!Mimi ni gentleman. Kama huamini muulize babe wangu ledada
Uliwakosea nini oxford English dictionaryZa usiku huu kuna bi dada fulani kwenye barabara fulani nilisikia anasema kama sina boyfriend ambaye ni gentlemen basi siwezi kaa naye.
Kabisa je kwa upande wenu nilazima uolewe au uwe na gentlemen ndio maisha ya songe ??
Je nyie wanaume wa humu nyie ni magentlemen .
Eti mnajua kudekeza nakupenda muke au g.lover wako??
Because i have seen so far that wale wanaume wanaojua kuonyesha true love wamepungua na sijui why.
Meaning??Sitachoka kusema.
Kuna id zinaanzisha nyuzi na kukomenti kama zipo kwenye heat. Ila zikitaka kuwekwa zinaruka ruka
Why
Ai wewee😊😊 ?