Kama vitalu hugaiwa kila baada ya miaka 5,ilikuwaje vitalu vikagaiwa 2017 badala ya 2018?


S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
30,322
Likes
57,710
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
30,322 57,710 280
Hii ni kwasababu mara ya mwisho tunaambiwa vitalu viligaiwa mwaka 2013 na hivyo tulitarajia vigaiwe tena mwaka 2018 na si kabla ya hapo.

Anaeweza kutuwekea sheria yote hapa naomba afanye hivyo na kama tukigundua wamekiuka sheria,basi tutawataka wawajibike.

Charity begins at home.
 
S

stemcell

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Messages
648
Likes
526
Points
180
S

stemcell

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2015
648 526 180
Nadhani imefika wakati muafaka wa kuzuia uwindaji Tanzania,Tubaki na utalii wa kawaida,mbona kenya toka 1977 walizuia hadi leo.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
51,765
Likes
38,912
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
51,765 38,912 280
Laana ya kumtelekeza baba mzazi haijawahi kumuacha salama mtu yeyote .
 
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Messages
339
Likes
272
Points
80
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2017
339 272 80
Makamanda,nadhan twende instagram tukaangalie msemaje wa chama(dada wa ulaya)kasemaje kuhusu hili
 

Forum statistics

Threads 1,213,006
Members 461,898
Posts 28,463,455