Kama vitalu hugaiwa kila baada ya miaka 5,ilikuwaje vitalu vikagaiwa 2017 badala ya 2018?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,998
144,338
Hii ni kwasababu mara ya mwisho tunaambiwa vitalu viligaiwa mwaka 2013 na hivyo tulitarajia vigaiwe tena mwaka 2018 na si kabla ya hapo.

Anaeweza kutuwekea sheria yote hapa naomba afanye hivyo na kama tukigundua wamekiuka sheria,basi tutawataka wawajibike.

Charity begins at home.
 
Nadhani imefika wakati muafaka wa kuzuia uwindaji Tanzania,Tubaki na utalii wa kawaida,mbona kenya toka 1977 walizuia hadi leo.
 
Back
Top Bottom