Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Hii ni kwasababu mara ya mwisho tunaambiwa vitalu viligaiwa mwaka 2013 na hivyo tulitarajia vigaiwe tena mwaka 2018 na si kabla ya hapo.
Anaeweza kutuwekea sheria yote hapa naomba afanye hivyo na kama tukigundua wamekiuka sheria,basi tutawataka wawajibike.
Charity begins at home.
Anaeweza kutuwekea sheria yote hapa naomba afanye hivyo na kama tukigundua wamekiuka sheria,basi tutawataka wawajibike.
Charity begins at home.