Kama vipi tembelea 'swagger' zake

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,490
Reaction score
8,305
Mambo vipi waheshimiwa.

Mabaharia wangu si mnajua vile unakuwa unasumbuliwa sana na wife/demu home. Mara hivi mara vile, ugomvi kidogo anatishia kukuacha.

Sasa akileta habari hizo wewe jitoe ufahamu siku moja umwambie unamuacha wewe. Utanishukuru baadaye!

Kwa nini ukubali kuachwa? Ukipigwa matukio anza wewe kutangaza kuacha.

Hi inafaa sana hata kwa mabaharia; usingoje kuachwa, kwani kuacha shin'ngapi?

Ni lazima ujithaminishe hata kama utalia baadaye.
 
Sawa mkuu...watalifanyia kazi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

hii ina faida zake na hasara pia, unless uwe na uhakika wa kuweza kufanya maamuzi magumu kama naye pia ataendelea kukukazia muachane baada ya wewe kuwa umemwambia muachane, maana unaweza kuigiza kuacha ukitegemea atarudi nyuma nae akaendelea kukaza mwisho wake unakuja kumlilia akusamehe hapo ndo balaa lake utalijua!!!!
 
Ni kweli mkuu,hakuna Uhuru wa bure. Hakikisha ndiyo yako ni ndiyo.vinginevyo utapata aibu.
 
Wacha nigune tu kama mtumishi namba moja “ hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…