Kama viongozi hawana maadili unategemeaje vijana wawe na maadili?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,059
Reaction score
79,405
Hamjambo wote!

1. Mara zote maadili huharibiwa na viongozi, wazazi na wakubwa.

2. Viongozi na wazazi au wakubwa wakiwa na maadili automatically watoto, wadogo na waliochini watakuwa na maadili.

3. Sio maadili ya kuhubiri mimbarani, au kwenye majukwaa kama kasuku. Huo ni ukasuku. Huwezi sema unafundisha maadili kwa kuhubiri. Nope! Maadili Siku zote hufundishwa kwa kufanywa.

4. Baba Mlevi, mama mchawi, unatukana watu hovyo, unaongea matusi, mchoyo, unaibia watu, Kila Siku kesi kwako haiishi jinsi unadhulumu watu. Hujamaliza kazi za watu kwa wakati.
Hutimizi ahadi unadanganya.
Alafu unasema umemfunza mtoto wako maadili, yapi? Maadili yapi wewe bhana wewe?

5. Hivi kuweka vikao visivyo na kichwa wala miguu. Kuitisha mawaidha ya familia nani aliyekuambia ndio kufundisha maadili?

6. Viongozi wa serikali wengi wao wanashutuma kibao za wizi na ufisadi. Wizi wa Kura, uonevu, ubambikiaji wa kesi, wengine mpaka kuuana. Alafu hao wakuambie maadili. Maadili gani?

7. Kuombana tuu msamaha ishu. Umekosea kujishusha ishu. Leo unamfundisha Nani maadili wewe bhana! Nani huyo mjinga akusikilize?

8. Baba huwezi omba msamaha kwa mkeo au watoto alafu wakati huohuo ulivyo akili ndogo unamwambia mtoto unamfundisha kusamehe. Hivi zinachaji kweli?

9. Maadili ni tabia zaidi kuliko maneno.

10. Ubinafsi umekujaa. Umimi na ulaghai Leo wewe useme unafundisha maadili. Really?

11. Upo tayari kuua, kutoa utupu wako, kujidhalilisha au kumdhaliisha yeyote ili upate pesa au cheo alafu Leo useme maadili. Yapi?

12. Wewe ni kiongozi. Vizuri. Mmekubaliana na waliochini yako kwamba kazi Fulani utawapa kiasi Fulani. Sawa. Kama mmekubaliana kwa hiyari Sawa. Kwa nini uwacheleweshee malipo yao? Alafu useme maadili. Huo ni wizi na uonevu hata ukija kuwalipa lakini ule usumbufu tuu inaonyesha huna maadili, unadharau, kiburi na huna heshima.

13. Haya kuna Yale majitu, kulalamika kwa Jambo walilokubaliana.
Wewe tangu mwanzo umeambiwa utapewa labda kwa Siku elfu 10. Ukakubali kwa hiyari yako. Hata kama ni ndogo lakini ulikubali. Alafu unakuja kulalamika. Hayo sio maadili. Heshimu makubaliano.
Ukishakubali haiwi tena ndogo kwani umeridhia.

Mbaya ni wewe uliyekubali kulipwa pesa ambayo kumbe ni ndogo. Ukakubali ili uje kulalamika.

14. Dhulma ni kumnyang'anya mtu haki yake. Kile anachostahili. Kama umekubali kulipwa kiasi chochote alafu ukawa unapewa hiyo sio dhulma. Kwani ndio stahiki yako.
Usiangalie wengine wanalipwa kiasi gani kwani hukuwepo kwenye makubaliano. Kila mtu ana thamani yake hata kama kazi ni ileile au hata kama unafanya kazi kubwa zaidi

15. MTU kama humtaki alafu ukaonyesha kumtaka au kumwambia unamtaka hayo pia sio maadili.
MTU kama humtaki onyesha humtaki.
MTU kama unamtaka onyesha unamtaka.
Unafiki ni ukosefu wa maadili.

16. Ukweli ni sehemu ya Uadilifu.

17. Kama Rais humtaki sema humtaki. Kama humkubali sema humkubali. Simple.

18. Nawe kama watu hawakutaki heshimu maamuzi yao. Kuheshimu mitazamo ya watu ni maadili pia.

19. Sio Mimi TaikonMaster watu hawanitaki na hawanikubali niwalazimishe wanikubali au wanitake. Huo ni ukichaaa. Watibeli hatupo hivyo.
Kama hunitaki shauri yako. Ni uamuzi wako. Ni maisha yako. Ni uchaguzi wako.

20. Na mimi kama sikutaki, sikupendi huo ni uamuzi wangu, uchaguzi wangu, ni hiyari Yangu. Shauri Yangu. Isikuumize kama unaakili timamu.
Hayo ni maadili.

21. Lakini lazima tubaki kwenye Facts. Ukweli ubaki Ukweli. Haki ibaki Haki. Uongo ubaki uongo. Bila kujali nani yupo nyuma yake.

22. Kama mwanamke au mwanaume hakupendi ni hakupendi. Kukubali ukweli ni maadili. Kwa nini upangie watu namna ya kukupenda. Kwa nini umlazimishe MTU kukupenda bhana.

23. Mara nyingi ukiona unalazimisha kupendwa ujue uko lower value yaani thamani yako iko chini. MTU mwenye thamani hawezi lazimisha kupendwa. Kwani Siku zote watu wanapenda vitu vizuri na vyenye thamani automatically.

24. Ukiona hupendwi. Ongeza thamani yako.
Kaa na wenye thamani kama Sisi watibeli alafu uone kama utalazimisha kupendwa. Utashangaa watu wanakupenda wenyewe hata kama hawataki.
Wanajiuliza kwa nini wanakupenda wenyewe hawajui.

25. Yote ni maadili. Uadilifu.

Nimemaliza. Acha nile kibulu. Wale wapare wa mjini mtapata tabu Sana.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Gentleman,
ukikiuka maadili hususani yale yaliyo wazi katika sheria na katiba ya nchi, fahamu ya kwamba utawajibishwa ipasavyo na vyombo husika bila kucheleweshwa hata kwa sekunde moja.

tafadhali,
kua raia mwema na mzalendo kwa taifa lako. Tii sheria na maadili ya umma wa kiTanzania bila shuruti, hayupo wa kukusumbua.

hakuna haja ya kusingizia wengine utovu wako binafsi wa kimaadili.
 
Unajua nilikuwa nazungumzia nini Mzee?
 
Ahsante kwa points nzuri.
Anyway, Wahenga walisema dunia ni tambara mbovu hasa huku Afrika.
Maadili yametoweka sana. Unawezaje kumwambia wa chini yako hasifanye yale unayofanya wewe. lazima ataiga kwako tu.
 
Mada ya msingi sana hii ambayo inakuwa overlooked
 
Ahsante kwa points nzuri.
Anyway, Wahenga walisema dunia ni tambara mbovu hasa huku Afrika.
Maadili yametoweka sana. Unawezaje kumwambia wa chini yako hasifanye yale unayofanya wewe. lazima ataiga kwako tu.

Iko hivyo.
Yaani uniambie hivi wakati uliyejuu Yangu hufanyi. Hata mimi sifanyi.
 
Ni ujumbe mzuri sana. Maadili yapo zaidi kwenye matendo yetu kuliko maneno yetu, watu wanakuwa more influenced by actions rather than words. Hatuwezi kuhubiri maadili alafu tuwe wa kwanza kukiuka misingi ya maadili, hata wengi wanaotufuata sisi watakiuka tu. Na ndivyo ilivyo.
 
Ume summarize vizuri Sana.
 
Kwa ufupi samaki huoza kuanzia kichwani
 
Gentleman,
ukikiuka maadili hususani yale yaliyo wazi katika sheria na katiba ya nchi, fahamu ya kwamba utawajibishwa ipasavyo na vyombo husika bila kucheleweshwa hata kwa sekunde moja.

tafadhali,
kua raia mwema na mzalendo kwa taifa lako. Tii sheria na maadili ya umma wa kiTanzania bila shuruti, hayupo wa kukusumbua.

hakuna haja ya kusingizia wengine utovu wako binafsi wa kimaadili.
Maadili na Katiba mnazipuuza wenyewe!
 
Back
Top Bottom