Kama utani ndio imeisha hivi...

Kama utani ndio imeisha hivi...

Habari wakuu

Wiki ilopita nilileta uzi wangu hapa nikiomba kushauriwa kuhusu girfriend wangu kuamua kuniweka carantine ya mapenzi(Sex)kwa muda usiojulikana

Niliamua kufuata ushauri wenu wa kutoonesha tena uhitaji wa hiyo bidhaa,lakini ni wazi nlikua najiuliza sana kwanini ameamua hivo

So usiku huu akajilesi mwenyewe kuongelea hiyo issue na nikaona nitoe nyongo yangu
Na ni wazi kwa mazungumzo hayo atakua kajiongeza kwamba sihitaji tena hiyo service ya kupangiwa.

Kama nimekosea nisahihishwe

View attachment 1432853

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume msimamo all the best
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom