Kama utani ndio imeisha hivi...

Kama utani ndio imeisha hivi...

ushetani(uzinzi umetawala)Bora umeuacha na usiende kwa mwingine unawazeesha mabinti wa Watu,wanao chuja ni hao wabinti, Mwanaume hachuji, na huenda huyo binti ameona ni ujinga bora amebana,

Afu mabinti mtazeeshwa sana muwe tayari kuepuka kutumika kizembe namsifu huyo binti ameona ujinga anafanya na mwisho wa Siku haolewi hapo,kijana mtafuta mtu ambaye utamuoa sio kuzeesha mabinti wa Watu ni ujinga mtupu unafanya na jiandae Kwa ajili wa watoto wako au mke wako atagonga hivyo hivyo ili uone inavyouma kuchakata mabinti alafu huwaoi,Watoto wako wakijakuwa masingle Mother ndo uone uchungu au wakichakatwa paka utaelewa ndo malipo hayo badilika.

pujo

Njoo useme kitu hapa haiwezekani achezee mabinti za watu afu hawaoi.
 
🤣🤣🤣🤣😂😂😂 Hapa waliokushauri umpige chini watakuja tena kukulaumu.

Ila huyo demu alishakua na mchepuko,sio kirahisi hivo,au wewe bahili ulikua hutoi matunzo.
 
luckyline

Toka nilione jua [ Sun ] sijawahi kuonana na msichana mwenye msimamo unless otherwise wewe men ukikataliwa fahamu Kuna mwanaume mwenzako
Anawakilisha bendera tena huyu anachezea Mpaka basi

Enough
Upo sawa kabisa ukiona mdada anakukazia wewe ujue kuna mtu huko mpaka anaikimbia yaani anaichezea sana kama yake
 
hukuwa na haja ya ku-debate nae......yeye alishakutema KIMASIHARA.......she WIN.....
 
ushetani(uzinzi umetawala)Bora umeuacha na usiende kwa mwingine unawazeesha mabinti wa Watu,wanao chuja ni hao wabinti, Mwanaume hachuji, na huenda huyo binti ameona ni ujinga bora amebana,

Afu mabinti mtazeeshwa sana muwe tayari kuepuka kutumika kizembe namsifu huyo binti ameona ujinga anafanya na mwisho wa Siku haolewi hapo,kijana mtafuta mtu ambaye utamuoa sio kuzeesha mabinti wa Watu ni ujinga mtupu unafanya na jiandae Kwa ajili wa watoto wako au mke wako atagonga hivyo hivyo ili uone inavyouma kuchakata mabinti alafu huwaoi,Watoto wako wakijakuwa masingle Mother ndo uone uchungu au wakichakatwa paka utaelewa ndo malipo hayo badilika.

pujo

Njoo useme kitu hapa haiwezekani achezee mabinti za watu afu hawaoi.
Ahahab eti ni bidhaa. Inafurahisha kwa kweli, wasichana tujitambue.
 
Dah! Sasa hapo kwenye majibizano mwanamke nani na mwanaume nani?

Na ujasiri wa kudate na mtu anaandika kihuni huni "xawa, tyu" mnautoaga wapi?

Mwandiko wakati mwingine ni usaili tosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha yan vibinti karibu vyote vishaingiwa na virus vya uslay Queen
Sijui tutaoa wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom