Kama Ureno haijacheza hakuna kombe la dunia

Kama Ureno haijacheza hakuna kombe la dunia

Mwambie huyo Mbuzi wako kua,
Beberu la kutoka Rosario Argentina,limepiga Hat-trick with zero penalties.
 
Teh 😃 😃

Mayele mbona hachezeshwi au sababu hachezi Ulaya?..Ile mechi ilimuhitaji Mayele.
Kuna MECHI 2 zimebaki atacheza tu,najua watanzania siku anacheza mayele tutakua wote mtashangilia DRC 🇨🇩
 
Maana watanzania nyie ni watu wa kudakia dakia tu ,hamjui mshike lipi muache lipi Proved huwa nikisomaga mijadala yenu humu nachekaga tu
 
Back
Top Bottom