Kweli kabisaSafi hata Ronaldo pia yupo humu asingependa kuona anaitwa mbuzi
Keep movingYeah sijafanya kibaya mpaka sasa, mimi nimwepesi kuomba msamaha
Na upe kirefu chake ni niniWalimu wa upe😎
Hapo ni Senegal VS senegalTujuane hapa tunaopoteza usingizi wa Bure kwa Senegal na france
Huyuhuyu LunyaMbuzi kama mbuzi....
KabisaHapo ni Senegal VS senegal
HatugongiTeam Germany gonga lile hapa.
Ni kweli Ila Leo umelewa bwashee 😂 😂Nalewa kila siku bwashee
FRENCH ASSIMILATION POLICY mpaka sasa sera hiyo ipo mkuu.Hapo ni Senegal VS senegal
Si ishapita mkuu tugange yajayo eeh eeeeehLionel Messi The Real Goat Chuma tatu
Imepita kivipi wakati ni leo tuSi ishapita mkuu tugange yajayo eeh eeeeeh
Imeisha bhana AanhImepita kivipi wakati ni leo tu
Atawaheshimisha kote lakini sio kwenye world cup huku jamaa hamna kitu kabisaImeisha bhana Aanh
Ronaldo atuheshimishe Leo