UntouchableMbuzi kirefu chake ni nini
Hivyo hivyoMambo ya conspiracy theories
Halafu bado jamaa anakukataa kuwa wewe haushiki rungu humu JFNimeshafanya kazi yangu
KashaelewaHalafu bado jamaa anakukataa kuwa wewe haushiki rungu humu JF
Asante sana 🤝🤝Kashaelewa
Uliweka neno mbuzi?Moderator nyie kumbe pia ni viazi ? Kichwa cha habari changu kilikua na shida gani?
Yeah Heading ilikua inasema mbuzi kama mbuzi..Uliweka neno mbuzi?
kesho utakuja kuomba msamaha na kusingizia BIAMbuzi Ronaldo wanatia ufundi wa kisenge tu hapa
Sasa wameona haifai mtu kumuita mbuziMno bwashee
Safi hata Ronaldo pia yupo humu asingependa kuona anaitwa mbuziYeah Heading ilikua inasema mbuzi kama mbuzi..
Kwahali ya kawaida hio haimek.sense nikaona ni vyema kuibadili.
Wanataka utumie goatHawaijui dunia