Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,197
- 11,629
ZIWA CHALLA, Katika Kijiji Cha Kidondoni, Kata Ya Challa, MAMSERA CHINI, ROMBO.
Tafiti Zinaonyesha Kwamba Ziwa Hili Limekuwepo Kwa Takriban Miaka 250,000 Iliyopita Mpaka Sasa.
Hili Ni Ziwa Ambalo Limetumbukia Kidogo Ndani Ya Ardhi na Lina Kina Cha Mita 98 Kutoka Usawa wa Ardhi na Ukubwa wa Eneo La Kilomita za Mraba 4.2
Ziwa hili ni moja ya maziwa yanayo vutia zaidi duniani, Kipindi cha kiangazi ziwa hili maji yake huongezeka sababu ya kuyeyuka kwa barafu ya Mlima Kilimanjaro na maji kupenya kwenye mto ulio chini kwa chini hadi kwenye ziwa Chala, Kipindi cha Kiangazi maji yake huwa na rangi ya Dark blue.
Ziwa Hili Ambalo Liko Mashariki Ya Mlima Kilimanjaro Linapata Maji Yake Kutoka Ardhini, Ardhi Ya Mlima Kilimanjaro.
Ni Ziwa Lenye Samaki Aina Ya Tilapia na Lina Mamba Pia.
Ni Eneo Zuri Sana Kutembelea Kwa Ajili Ya Kustarehe na Kula Bata Huku Ukitazama Muonekano wa Ziwa Hili, Ni Eneo Lenye Utulivu Mkubwa Linalotembelewa Sana na Watalii.
Ziwa hili lipo km 55 kutoka Moshi mjini
Tumia fursa hii ya mapumziko ya mwaka kutembelea ziwa hili lenye mvuto wa pekee.
View attachment 1659784View attachment 1659783View attachment 1659782View attachment 1659785View attachment 1659781View attachment 1659786View attachment 1659787
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
View attachment 1659791View attachment 1659794View attachment 1659792View attachment 1659793