Kama upo Arusha

mkuu vuta subira tuko nje ya a twn mpaka next week. karibu sana
 
Julisha ulipo mkuu
Moshono?
Kijenge juu?
Tengeru?
Usa?
Kimandolu?
Njiro?
Unga lmted?
Sekei?
Sanawari?
Mianzini?
Sakina?
Majengo?
Ngarenaro?
Mbauda?
Sombetini?
Olasiti?
Fild force?
Kwa Mrombo?

Atakuwa Ngalelooo au Matejoo!
 
Kwani ulisikia Arusha ni ya wachaga tu

Huo utaratibu tu wa kutafuta kukusanyika kwa mzengwe ulioweka mtandaoni unanuka ukabila, na mpaka sasa ukabila ni hulka ya Wachaga, ushahidi ni wa kutosha na si kwa kuzushiana lawama kama unavyofanya wewe.
 
Sijakuelewa maana mi ni msukuma ila kwa sasa nipo arusha kikazi
 
karibu sana ngosha2011.........umekuja wakati mgumu sana....wengi wetu tupo kwenye luna de miel.....poyeeeeeee.........

Hata ningekuja mimi mngenitosa hivi. Niambieni angalau mngejaribu kukopa tafazali.
 
Last edited by a moderator:
Sijakuelewa maana mi ni msukuma ila kwa sasa nipo arusha kikazi

Basi pole kwa sababu umejiunga na makabila yanayopenda kujiita Elizabeth Michael ili wasijulikane kuwa wao ni Wapare. Watu hao wakitokea kwenye mtandao hujiita "Ngosha" ili watu wasikose imani nao. Anajua akijiita Malya watu wengine wote watamkimbia abaki na Wachaga wenzake tu.
 
Utakuepo hadi lini? Nipo Moshi kidogo ila nadhani Arusha One atakutafuta ndo maeneo yake hayo.

Nipo kwa wiki moja nimekuja kusalimia family na kula sikukuu tar 7 jan 2014 nahamsha popo!!
 
Haaaaaaaa mi ngosha kabisa maana ni msukuma kabisa
 
Hata ningekuja mimi mngenitosa hivi. Niambieni angalau mngejaribu kukopa tafazali.

nihakikishie upo njiani.....moyo wangu uhairishe luna de miel............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…