Habari wana jamvi. Ni hivi majuzi mke wangu mama Baraka nimemkuta anaongea kwenye simu na mzazi mwenzake baba Baraka, kinachonipa mashaka ni namna alivyokuwa anajibu kwa unyenyekevu wakati mwingine akijitetea kuwa hakumkatia simu bali lilikuwa ni tatizo la mtandao. Hofu yangu ya kwamba huenda ninachapiwa ilikuja baada ya kumwuliza "Ulikuwa unaongea na nani? hakutoa majibu ya kuridhisha, psychologically alichanganyikiwa" ukweli sina imani nae kabisa na wazo nililonalo nikumwacha, na iwapo nitamwacha atakuwa ni wa nne. Nipeni ushauri.
Kabla ya kuamua kumuach jichunguze wewe una mapungufu gani, maana kama na huyu ukimuacha atakuwa wa nne lazima kuna vitu haupo sawa na ndio maana inapelekea kuacha acha mara kwa mara.
Habari wana jamvi. Ni hivi majuzi mke wangu mama Baraka nimemkuta anaongea kwenye simu na mzazi mwenzake baba Baraka, kinachonipa mashaka ni namna alivyokuwa anajibu kwa unyenyekevu wakati mwingine akijitetea kuwa hakumkatia simu bali lilikuwa ni tatizo la mtandao. Hofu yangu ya kwamba huenda ninachapiwa ilikuja baada ya kumwuliza "Ulikuwa unaongea na nani? hakutoa majibu ya kuridhisha, psychologically alichanganyikiwa" ukweli sina imani nae kabisa na wazo nililonalo nikumwacha, na iwapo nitamwacha atakuwa ni wa nne. Nipeni ushauri.
nenda katubu umuungamie mungu wako we utakua umerogwa sio bure 3 divorce 1 to go pole sana......gundu tuu,,,
Habari wana jamvi. Ni hivi majuzi mke wangu mama Baraka nimemkuta anaongea kwenye simu na mzazi mwenzake baba Baraka, kinachonipa mashaka ni namna alivyokuwa anajibu kwa unyenyekevu wakati mwingine akijitetea kuwa hakumkatia simu bali lilikuwa ni tatizo la mtandao. Hofu yangu ya kwamba huenda ninachapiwa ilikuja baada ya kumwuliza "Ulikuwa unaongea na nani? hakutoa majibu ya kuridhisha, psychologically alichanganyikiwa" ukweli sina imani nae kabisa na wazo nililonalo nikumwacha, na iwapo nitamwacha atakuwa ni wa nne. Nipeni ushauri.
Mpe onyo la sivyo muache anaongea nae kwa kujitetea kwa nin hakumuoa,wanawake wengine banaa