kama unaweza malizia hii sentensi...

Mbumbumbu mambo ? Nisalimie zezeta !

poa ntamsalimia... yupo karibu hapa... na ye anashangaa majibu mabovu ya hawa giriti sinka.. wakati jibu ni ...ujue alikuwa ana nywele. nisiulizwe za wapi maana nywele ni nywele hata za uvunguni.
 
poa ndugu yangu...long T...hebu tukumbushie enzi za kuchakachua...masredi kama haya tupa kuleee...
Haahaaa we waache kuanzia jumamosi watalijua jiji....yan itachakachuliwa na hatutahitaji thread za kijinga maana naona ndo zimetawala sana
 
Back
Top Bottom