Kama unataka mpenzi wa hivi!

Kama unataka mpenzi wa hivi!

Alafu wewe na vigezo vyako chaaah!!
Hata ki-Passo....ila huwa mnapendeza mkiwa mnaendesha! Unakuta mdada katulia kwenye VW Touareg sun glasses kuubwa kama Beyonce!
 
Hata ki-Passo....ila huwa mnapendeza mkiwa mnaendesha! Unakuta mdada katulia kwenye VW Touareg sun glasses kuubwa kama Beyonce!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ninunulie basi hata hako kababy walker nami nipendeze kama Beyonce[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
bhana mimi mambo ya elimu elimu sijui degree sijui pumbavu gni wala sitizami

huwa niko na vigezo vyangu

1.Nasaba yake
2.Dini yake muhimu sana tena sana
3.Uzur wake plus mali ila kama hana pia poa
4..........loading.......nimesahau
 
eti unakuta mwanamke anasema anataka real man wakati yeye ni fake,nywele fake,kope na kucha bandia,rangi ya kununua kichwani bashite mweee
umenikumbusha mkuu... mademu wa siku hz wakienda kuoga eti nywele zao wanaacha ndani..!
 
Back
Top Bottom