Kama unataka kuwa tajiri kaa na matajiri

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,312
Reaction score
59,233
utajiri unaanzia akilini mwako.

faida za kuambatana na watu matajiri
utajifunza;
mbinu za biashara,

nidhamu ya fedha,

jinsi ya kufanya big investment,

kubadili mtazamo.
 
Haya mambo hayaendi hivyo.Hakuna uhusiano wowote kati ya kukaa na tajiri na kuwa tajiri.Mbona wapambe wa hawa matajiri wenu wa bongo hali zao mbaya tu japo pesa ya kula,kubadili nguo na magari ya kuazima wanavyo lakini si matajiri.

Jamaa yangu kama kwenu wazazi wako na mababu zako walikosea wakakubali kuishi masikini ujue na wewe safari yako itakuwa hivyo hivyo labda ukatafute hizi mali za mauza uza
 
Re_read post No.2
 
Screenshot_20260204-114546~2.jpg
 
Mkuu swali nje ya mada, wanasema eagles fly with eagles , hivi ikitokes nataka kukaa na matajiri, na wao matajiri wanajua ndege wafananao huruka pamoja , so wakawa wananikwepa kwa sababu mimi sio tajiri. --- nini kitafata

Nb: hizi theory kuna muda zinapigana vita sana
 
Mkuu swali nje ya mada, wanasema eagles fly with eagles ,
hapa uko sahihi kbsa
hivi ikitokes nataka kukaa na matajiri, na wao matajiri wanajua ndege wafananao huruka pamoja , so wakawa wananikwepa kwa sababu mimi sio tajiri. --- nini kitafata
Ukiona unakwepwa ujue umeleta njaa njaa za kijinga
Nb: hizi theory kuna muda zinapigana vita sana
sio nadharia ni reality.
 
Ukiona unakwepwa ujue umeleta njaa njaa za kijinga
Kama umeungana nami kwenye eagles fly with eagles, maana yake matajiri wana fly na matajiri, kapuku unataka uunganena matajiri ili na wewe uwe tajiri wao wanakuona wewe sio eagle, na kanuni inasema eagles fly with eagles wanakukwepa. --- kwa muktadha huu hata fursa ya kuonesha njaa njaa sidhani kama utafanikiwa.

Au kuna ile nyingine wanakwambia

" if you are the smartest guy in the room, you are in a wrong place"
Unakubaliana nayo?

Hizi concepts huwa ni kweli tuna apply na zinasaidia ila kila mtu akiapply ngoma inakua ngumu
 
Hapo lazima uwe chawa wao
 
Back
Top Bottom