moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Bilashaka watakao fungua uzi huu ni wadada tu, Wadada ukitaka kuolewa lazima ufanye yafuatayo.
1. Usionesha kama unashauku sana ya kuolewa.
2.weka vigezo vya mwenza unaemtaka.
3.usikubali kutoa penzi mapema tena ikiwezekana subiri mpaka siku husika.
4.Jitenge na makundi yasiyosemwa vizuri
5.Vaa mavazi ya heshima.
6.jenga uchumi wako ili usiwe tegemezi.
7. Epuka kubeba mimba kabla hujaolewa.
8. Achana na stori za kimbea
Ukiweza kufanya haya hakika hutabaki bila mwenza, kila la kheri.