Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Uwe unakuja na mada kama hizi,kushare nasi mazuri ili kutuandaa wengine ambao hatujaingia ndoani.Siamini kama nawewe Leo umeniunga mkono
Uwe unakuja na mada kama hizi,kushare nasi mazuri ili kutuandaa wengine ambao hatujaingia ndoani.Siamini kama nawewe Leo umeniunga mkono
Sasa vipi mbona unauchuna?Haya v ntajitahidi, Ila sijui jana mjadala wenu uliishia wapi naona nakauzi kangu kamefutwa!
Mpaka hamuaminiani?? Wanawake bwanaSiamini kama nawewe Leo umeniunga mkono
Moniccca jamaa muda si mrefu atapunguza spidi kwenye 6*6 maana sasahivi mtoto bado mbichi ndo maana mapenzi moto moto.ukiona ameanza kupunguza mapenzi kwako ujue kuna mjanja kakuzidi hivyo kwa heshima na taadhima usisite kunicheki PM ntakufuta machozi kwa kiwango cha juu haswa.Asante.Unadhani bila kumtaja moniccca atamtaja Nani mwingine wengine mpaka wananiota cheza moniii nini wewe!
Hahahahaha, uzuri sijui kulia mwenzio kila siku ni vicheko kwenda mbele..Moniccca jamaa muda si mrefu atapunguza spidi kwenye 6*6 maana sasahivi mtoto bado mbichi ndo maana mapenzi moto moto.ukiona ameanza kupunguza mapenzi kwako ujue kuna mjanja kakuzidi hivyo kwa heshima na taadhima usisite kunicheki PM ntakufuta machozi kwa kiwango cha juu haswa.Asante.
Upi?Haya v ntajitahidi, Ila sijui jana mjadala wenu uliishia wapi naona nakauzi kangu kamefutwa!
duuh jamaa anawazia kitoroli style baada ya kumvua shera
Ahaaa wew dada umeibuka maarufuBilashaka watakao fungua uzi huu ni wadada tu, Wadada ukitaka kuolewa lazima ufanye yafuatayo.
1. Usionesha kama unashauku sana ya kuolewa.
2.weka vigezo vya mwenza unaemtaka.
3.usikubali kutoa penzi mapema tena ikiwezekana subiri mpaka siku husika.
4.Jitenge na makundi yasiyosemwa vizuri
5.Vaa mavazi ya heshima.
6.jenga uchumi wako ili usiwe tegemezi.
7. Epuka kubeba mimba kabla hujaolewa.
8. Achana na stori za kimbea
Ukiweza kufanya haya hakika hutabaki bila mwenza, kila la kheri.
No comment Nilijua tu utakuja na nyingineBilashaka watakao fungua uzi huu ni wadada tu, Wadada ukitaka kuolewa lazima ufanye yafuatayo.
1. Usionesha kama unashauku sana ya kuolewa.
2.weka vigezo vya mwenza unaemtaka.
3.usikubali kutoa penzi mapema tena ikiwezekana subiri mpaka siku husika.
4.Jitenge na makundi yasiyosemwa vizuri
5.Vaa mavazi ya heshima.
6.jenga uchumi wako ili usiwe tegemezi.
7. Epuka kubeba mimba kabla hujaolewa.
8. Achana na stori za kimbea
Ukiweza kufanya haya hakika hutabaki bila mwenza, kila la kheri.