Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,728
- 4,075
Kama unataka kuona chungu ya ndoa we nenda kaoe kanda yq ziwa utajuta hawa watu wana tamaa ya mali aisee sijawahi kuona aisee wajeuri, wajivuni na viburi na ushirikina kwao ni kama jadii yao tu wanaweza kukupiga limbwata mpaka ujute kusema ukweli Mimi nimenusurika kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tu ila bila hivyo ningejuta aisee.
Hawa kutoka Simiyu ndiyo usiombe kabisa kwanza wenzao ajabu kutoka shinyanga, Mwanza, Geita na Tabora wanawaogopa na wanawakwepa kuwaoa wanawajua kutokana na ukatili wao, ujeuri, kiburi na ujivuni ambao haona faida yoyote ile aisee