Kama Unataka Demu..JF..unataka aweje?

1.Ngastuka mademu kuvaa nusu uchi,machale kundesa wanasambaza virusi

2.Ngastuka mbege ni tamu kuliko bia,machale kundesa gongo inatuharibia
3. Ngastuka mama muuza hana mtaji, ndio mana pombe ya leo ameitia maji.....

4. Ngastuka kuna mtu ananisachi machale kundesa sijalewa acha pochi.
 
Kama unataka demu sema aweje..aweje
kama akienda bogie unapenda atokeje tokeje

Ndio nataka demu lakini,tuanzie JF ila asiwe FF
awe kama Preta..mtoto anajua Kudeka
asiwe kama Afrodenzi..yule wa mbezi

awe na mvuto kama Mwali...wadau wate JF wanamkubali


JF..Chit Chat...
awe kama preta maana yake awe mweusi au alimaanishanini???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom