Akiingia bachelor haruhusiwi kuoa, akioa tu notisi!! hahaha, kaaz kweli. Familia ni dhamana ndugu yangu, nilikuwa naskiaga tu kuwa kuna watu wana masharti kama hayo kwenye kupangisha!!
Napangisha chumba maeneo ya mwenge near TRA opzt magorofa ya jeshi kodi 80,000 kwa mwezi including maji na umeme, ina maana maji na umeme hulipii, HAKUNA DALALI, nyumba ina vyumba vinne vyoo viwili mabafu matatu ndani kwa ndani ina geti na maeneo ni salama na tulivu, VYUMBA VITATU TAYARI VINA WATU.
MASHARTI
1)- Kodi ni kuanzia miezi sita na kuendelea
2)- Uwe HUJAOA au KUOLEWA meas sitaki familia, ila haikatazwi kua na MPENZI,
3)- Napendelea mtu asiyezidi miaka 30 na asipungue MIAKA 18, Hapa napendelea vijana wenzangu
4)- Uwe unajishuguklisha na chochote, Mfano unafanya kazi, Mfanya biashara au Mwanafunzi wa chuo(Hakuna kubebana)
MAWASILIANO 0684448888 Itapatikana kuanzia J3 Tarehe 22/4/2013
ni hivi ndugu kama umenisoma pale tunaishi watu w rika moja na nilifafanua kwamba vyumba vitatu vina watu kimebki kimoja nimeagalia na watu niliowapangisha na ambao naishi nao kweli pale wenye ndoa hapawastahili ndo mana nikawaondolea usumbufu wa kunitafuta alafu wasipateAre you serious? Unaweza toa sababu za kutotaka mpangaji asiye na familia? Anyway its your house na una uhuru kuamua nani akae kwenye nyumba yako
Na ukiingia mwaka huu ukiwa na umri wa miaka 30, mwaka kesho lazima ufukuzwe maana utakuwa umevuka age limit ya mwenye nyumba ambayo ni miaka 18 - 30!!Akiingia bachelor haruhusiwi kuoa, akioa tu notisi!! hahaha, kaaz kweli. Familia ni dhamana ndugu yangu, nilikuwa naskiaga tu kuwa kuna watu wana masharti kama hayo kwenye kupangisha!!
Mimi nina umri zaidi ya huo ulio utaja ila nataka nimuweke mtu hapo ndani nitaruhusiwa kuja kumuona mara moja moja? sitalala maana nina familia yangu.