Kama unataka chumba maeneo ya Mwenge Napangisha

Kama unataka chumba maeneo ya Mwenge Napangisha

utampata nani kwamasharti ya kitoto kama hayo
:yo:
Mi nafikiri ukipanga nyumba/chumba ni chako hadi kodi iishe na mwenye nyumba anakuwa hana mamlaka tena yoyote juu ya utakavyokuwa unataka kufanya,hayo masharti ndio yale ya kusema ''usipike nyama kila siku'' au usiweke kanda za dini.Mambo hayo yamepitwa na wakati,hata mpangaji ana haki zake.
 
Umeme hulipiiii, daah hii nimeipenda!
Mkuu Tunzo unadhibiti vipi matumizi, naomba maujanja tafadhali
 
kuna masharti katika kutumia umeme!!!

Na mimi concern yangu ni hapa, ngoja aje atwambie, usikute ndo ile unaambiwa usiwe na kitu chochote cha kutumia umeme zaidi ya balubu aliyoweka yeye, teh, teh, teh!
 
Mimi mtu mzima kijana, msela kimtindo. Kifupi mtu wa meli, nina miaka 47 nipo single. Hobe zangu club, masanga kimtindo pamoja na kutravel.
Vipi ninaweza kupata hiko chumba kwa kigezo cha kuwa na fikra za ujana
 
Sisi ni familia, mke na mume ( tumetoka kuoana) hatuna watoto wala ndugu, tunafanya kazi, umri 26 na 27. Vp?
 
Mimi mtu mzima kijana, msela kimtindo. Kifupi mtu wa meli, nina miaka 47 nipo single. Hobe zangu club, masanga kimtindo pamoja na kutravel.
Vipi ninaweza kupata hiko chumba kwa kigezo cha kuwa na fikra za ujana

Una mademu wangapi?
 
By kwamtoro<br />
Mimi mtu mzima kijana, msela kimtindo. Kifupi mtu wa meli, nina miaka 47 nipo single. Hobe zangu club, masanga kimtindo pamoja na kutravel.<br />
Vipi ninaweza kupata hiko chumba kwa kigezo cha kuwa na fikra za ujana
<br />
<br />
Una mademu wangapi?
Nina demu moja na wapenzi wa kutosha
 
Kwani unahitaji mahusiano ya kiurafiki maana umelenga wale wa umri wako.lol!
 
Mimi nina umri zaidi ya huo ulio utaja ila nataka nimuweke mtu hapo ndani nitaruhusiwa kuja kumuona mara moja moja? sitalala maana nina familia yangu.
 
Na mimi concern yangu ni hapa, ngoja aje atwambie, usikute ndo ile unaambiwa usiwe na kitu chochote cha kutumia umeme zaidi ya balubu aliyoweka yeye, teh, teh, teh!

hiyo 80,000 ndo inajumuisha maji na umeme.. nikikuambia utoe 65 utalipia kila mwezi 20,000 ya maji na umeme
 
Back
Top Bottom