Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 815
- 1,645
The line is between you and jfKama unamjua mtaje kuna member humu alitambulishaga Id zake zote cha kushangaza kwenye baadhi ya mada ana reply kisha aquote kujitukana na na Id Kuna muda an ji tag mwenyewe sasa najiuliza mbona anajitukana huyu ni nani? de kama unamjua MTAJE?
hata mleta mada atakuja kucomment kwa id zake nyingine hapaHiyo ndio ukisikia watu wamevurugwa!dawa za kuoga wamekunywa,dawa kunywa wameoga.
Tangu nijiunge nina week 2 tu ila nilianza kuzurura humu tangu 2024 KABLA sija jiungaWew si una 2 week tangu umejoin humu jf. umejuaje?
Watoto wa Form 2 wapo likizo hawa.Wew si una 2 week tangu umejoin humu jf. umejuaje?
Umejiunga mwezi uliopita, dah ungekaa usome kwanza ramani ya jfKama unamjua mtaje kuna member humu alitambulishaga Id zake zote cha kushangaza kwenye baadhi ya mada ana reply kisha aquote kujitukana na na Id yake nyingine Kuna muda an ji tag mwenyewe sasa najiuliza mbona anajitukana huyu ni nani? de kama unamjua MTAJE?
😂😂😂Niljua na huu ni uzi wakoWe tabia za namna hii umezitoa wapi, ulisha ona mwandiko wangu wapi tena?
Dah umenikosea heshima kabisa, alaf nimekuja ww nani😂😂😂Niljua na huu ni uzi wako
Ila JF ina mambo mengi sanaKuna vitu vinachekesha sana 😁
Kama kweli nitajeDah umenikosea heshima kabisa, alaf nimekuja ww nani
Jaji Mfawidhi mm nilikua nashinda jf japo nilikua sijajiunga tangu 2024 SIO MGENI sema ndo nimejiunga juz tu na mm nichangie n.kUmejiunga mwezi uliopita, dah ungekaa usome kwanza ramani ya jf
Tuishi umoIla JF ina mambo mengi sana