Kama unamiliki biashara hakikisha Customer Care never die...

Kama unamiliki biashara hakikisha Customer Care never die...

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,664
Reaction score
8,285
Kama unamiliki biashara hakikisha customer care never die. Tuache tabia kwamba ukishapata Loyal customers basi unarelax kwamba watakuja tuu. And Always remember to add value to your product and service. Customers always demand for more [emoji1487][emoji1487][emoji8]

Na kinachoongeza thamani zaidi ya loyal customer ni kuwekeza na kuwathamini wateja wako kama assets kwa kuboresha mahusiano nao na kuwapa suluhisho la mahitaji yao I'll kuwafanya wadumu na wakuletee wateja wengine bila ya ww kutumia gharama kujitangaza..!!
 
Umenena vema mkuu na haya yakafanyike katika familia zetu pia maana kuna watu biashara/Kazi inathaminiwa kuliko familia.

Customer care ianzie nyumbani na itakuwa rahisi kufikia kazini.
 
Umenena vema mkuu na haya yakafanyike katika familia zetu pia maana kuna watu biashara/Kazi inathaminiwa kuliko familia.

Customer care ianzie nyumbani na itakuwa rahisi kufikia kazini.
Ts obvious depending on the kind of customers. Wengi wetu huwajui vizuri hili.
 
Back
Top Bottom