Mashaurijr
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 674
- 1,080
Makumbusho ukikaa masaa 2 lazima shingo ikuume kugeuka geuka kila dakika aisee hiki kutuo kimejaa maua balaa
Kama unajiona umetupia umenyooka kinoma ukifika hapa unajiona mshamba tu.
Shkamoo makumbusho
Kama unajiona umetupia umenyooka kinoma ukifika hapa unajiona mshamba tu.
Shkamoo makumbusho