1. Kwenye Msingi wa nyumba
Tumia msingi wa kina (deep foundation) ili kuepuka kushindwa na maji yanapanda au udongo uliojaa maji.
2. Kuhusu Mifereji ya maji: Weka mifereji vizuri (drainage) ili maji yasikusanyike karibu na nyumba.
Ulinzi wa mafuriko: Angalia kama eneo lina hatari ya mafuriko, na uweke kingo au vizuizi vya maji.
3. kuhusu Mabomba na maji taka: Hakikisha mifumo ya maji safi na taka inaenda mbali na maji ya asili ili kuepuka uchafuzi.
Nitaendelea
0743257669
Eng James
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.