Wazo lisilokuwa lako litafanya kazi kwa muda baadae lita failTunapeana mawazo mkuu, wewe umewahi kuingiza pesa mtandaoni?
Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi.
====================
Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager) kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 150,000 Tsh kwa mwezi
Ukipata mawazo sio kwamba unaenda kuiga hayo mawazo, hapanaWazo lisilokuwa lako litafanya kazi kwa muda baadae lita fail
Ila wazo likiwa lako litaishi milele
Elewa tofauti kati ya mbinu na ufafanuziUkipata mawazo sio kwamba unaenda kuiga hayo mawazo, hapana
Inakusaidia kuelewa jinsi mtandao unavyoweza kutumika kupata hela, inakuoa upeo wa kuelewa social media kiundani na hii itakusaidia kupata uwezo wa kubunu jambo lako mwenyewe na kujiingiza katika utafutaji wa hela kupitia social media
So, kama kuna unachojua just share, usimpe maneno ya kukatisha tamaa
KhaaaTarehe 1 hapo nimelipwa 9M kutoka social media ukitoa makato
Hivi Kila tumaini la mbele SI ni kamali hiyo? Kijana anaposoma Hadi degree SI ana bett kwamba baada ya masomo yake atapata ajira na asipopata hiyo ajira SI mkeka umechanika huo? Vivyo hivyo kwa mkulima kwa hiyo hayo yote ni kamali hivyo ni dhambi mbele za Mungu?Hapana, Kubet ni kamali na kamali ni dhambi mbele za MUNGU