Du mbona bei ya kifaranga inalingana na bei ya sato mkubwa kwa Mwanza?
Mkuu umezungumzia kuwa unawafugia kwenye karo. Hebu tupe ka utaalamu kidogo wa kufugia kwenye karo tukiwanunua kwani hatuna mabwawa.
Du mbona bei ya kifaranga inalingana na bei ya sato mkubwa kwa Mwanza?