Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,125
- 2,449
Ni bar kubwa na ina live band usiku, ipo mwenge dar es Salaam opposite na TRA, huduma ni kuanzia asubuhi mpaka usiku, chai, supu, mchana uwe na uwezo wa kuhudumia chakula chochote cha mchana, watu ni wengi kiasi, jioni, kila kitu, mbuzi chama, kuku, kongoro, chip, na kila kitu wanywacho wanywaji wa bia kitahitajika.
Kufunga mara nyingi ni saa saba coz ya live band, ki ufupi haihitaji mtu wa magumashi na mtaji wa kubembeleza, wazoefu wanajua bar kubwa zipoje pia ishu ya vyombo vya kupikia na majiko yapo, wewe ni mtaji na nguvu kazi.
Kama upo serious naukuhudumia huduma ya jiko bar nichek kwa 0713415537