Kama unahitaji dereva mzoefu tuwasiliane. Nina uzoefu wa kuendesha magari yote ikiwemo malori ya mzigo

Mdanganywa

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
620
342
Habari wana Jamii Forum, Poleni na majukumu ya kijamii

Kwa jina naitwa Baraka, nawajulisha kwamba mimi ni mtanzania mwenzenu niliye na uzoefu wa kazi ya udereva kwa muda mrefu.

Uzoefu wangu ni kwa magari ya aina zote lakini zaidi nina uzoefu usio na mashaka kuendesha malori ya mizigo yanayosafiri ndani.
Pia nina uzoefu kwa kuendesha malori yanayofika nje ya nchi.

Pia nina uwezo wa kuongea na kuandika kiingereza na kiswahili.

Hivyo, kama unahitaji dereva mzoefu, basi tuwasiliane katika contacts zangu zifuatazo:

Tel:
+255715466928
+255742151528
+255784466928

Wenu Baraka.
 
Kuna scania 113 super doll vipi utaweza

Mheshimiwa,

Maelezo yangu na uzoefu wangu kuhusu Scania 113 Super Doll ni gari niijuayo kiuhakika. Kiujumla hii ni gari ya model iliyoko kwenye soko kwa miaka mingi.

Hii Scania 113 Super Doll ni gari ya gear kumi, nimeiendesha mara nyingi na nimeenda nayo Zambia kupitia Tunduma mara kadhaa.

Kwa masuala ya kitaalamu na ufundi tuwasiliane kwenye namba zangu za simu hizo:

Tel:
+255-715-466928
+255-742-151528
+255-784-466928

Wako Baraka.
 
Umeshawahi kufanya kazi na kampuni gani hapa Tanzania? Nia yangu asije akatokea mtu humu akakupa offer kumbe ni kampuni uliyotoka mwezi uliopita. Weka wazi hili.
 
Mkuu,

Tuwasiliane namba yangu ya simu, maana kampuni nilizofanyia sina ruksa yao ya kuzisema humu. Ila ukishawasiliana na mimi unaweza kuulizia performance yangu kampuni hizo.

Karibu.
 
Umeshawahi kufanya kazi na kampuni gani hapa Tanzania? Nia yangu asije akatokea mtu humu akakupa offer kumbe ni kampuni uliyotoka mwezi uliopita. Weka wazi hili.

Sidhani kama kampuni niliyotoka ina mpango maana kilihotokea ni kwamba imepungukiwa magari. Ni kampuni nzuri na kwa mfano nilipata ajali ikanihudumia vizuri.

Bahata nzuri nimeandika jina langu na namba zangu za simu, na tunaweza kuongea zaidi.

Baraka.
 
Habari wana Jamii Forum, Poleni na majukumu ya kijamii

Kwa jina naitwa Baraka, nawajulisha kwamba mimi ni mtanzania mwenzenu niliye na uzoefu wa kazi ya udereva kwa muda mrefu.

Uzoefu wangu ni kwa magari ya aina zote lakini zaidi nina uzoefu usio na mashaka kuendesha malori ya mizigo yanayosafiri ndani.
Pia nina uzoefu kwa kuendesha malori yanayofika nje ya nchi.

Pia nina uwezo wa kuongea na kuandika kiingereza na kiswahili.

Hivyo, kama unahitaji dereva mzoefu, basi tuwasiliane katika contacts zangu zifuatazo:

Tel:
+255715466928
+255742151528
+255784466928

Wenu Baraka.
Kuna ractis hapa ya uber,vipi we ni registered driver wa uber?
 
Mkuu Joowzey,

Driving licence yangu ina class B, D na E, hivyo inaniruhusu kuendesha gari yoyote as long as isiwe na plate number nyeupe.

UBER kuna plate number za aina mbili, yaani NYEUPA na NJANO. Hivyo, kama UBER yako ni plate number ya NJANO karibu tuongee.

Kuna scania 113 super doll vipi utaweza
 
Mkuu Joowzey,

Driving licence yangu ina class B, D na E, hivyo inaniruhusu kuendesha gari yoyote as long as isiwe na plate number nyeupe.

UBER kuna plate number za aina mbili, yaani NYEUPA na NJANO. Hivyo, kama UBER yako ni plate number ya NJANO karibu tuongee.
Hujanijibu swali langu,nauliza tena. We ni registered driver wa uber?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom