Kama unahisi asipopokea simu yako wakati huo anachepuka, ina maana akipokea wakati huo hachepuki?

Si huyo jamaa yako
Yani anajua mtu anaelekea kuwa mke wa mtu yeye anamfuck

Ikifika muda wake wa kuoa na akagundua mwanamke anayeelekea kumuoa kuna jamaa anamfuck siku chache kabla ya ndoa hatakiwi kulalamika
Nyoka mzee fikisha Ujumbe tafadhali
 
Nimekumbuka kitu Mkuu Nyoka_Mzee nikabaki natabasamu tu duh!

Kuna Tukio lilimemtokea jamaa yangu mmoja ,kuna siku alikuwa sehemu na kabint ka moja ,ambapo kalishatolewa barua na mshkaji mmoja,

Na kwakuwa jamaa alikuwa mtu wake wa kitambo,wakapanga kukutana sehemu ,kwa ajili ya kuagana na kupeana mgegedo wa mwisho mwisho,kabla jamaa mwingine ajachukuwa jumla,

kilichotokea ndicho kilinistajabisha pale jamaa alipokuja nihadithia ,

Kuwa katikati ya mgegedo wao,binti akiwa juu ya kifua simu yake iliita ,
Na ili bidi zoezi likatishwe na apokee simu ya mlengwa huku bado akiwa juu,
"Alipoulizwa kuwa yupo wapi ?

Demu alijibu kuwa yuko nyumbani amelela,
jamaan upande wa pili akaridhia na kukata simu na watu kuendelea na mgegedo wao kama kawaida hapa,

Nilichojifunza wengi huwa tunaibiwa kwa namna hii ,na huwa tunahisi kuwa wasipopokea simu ndo wanatusalitii.

Kumbe anaweza pokea simu juu ya kifua akiwa anagegedwa,
 
Si huyo jamaa yako
Yani anajua mtu anaelekea kuwa mke wa mtu yeye anamfuck

Ikifika muda wake wa kuoa na akagundua mwanamke anayeelekea kumuoa kuna jamaa anamfuck siku chache kabla ya ndoa hatakiwi kulalamika
joanah kuna mzee mmoja alishawai nambia ,

usijidanganye kutokula vya watu ndio watu wasile vyako!

hili neno sitalisahau mkuu ,.
kuna watu hawana tabia za kugegeda wa wenzao ila wao wanagegedea kila kukicha

huu mchezo ni wasandakalawe amina mwenye kupata apate
 
Hapana Mkuu vitu vingine ukihadithiwa ni bora usivianike hadharani. Hujui kama wahusika wamo humu au la, lakini kisa kinafanana sana na hiki na mume mwenye mali zake alikuwa anatembea na bistola kiunoni lakini na bado watu wa MUJINI wakamzidi kete.

Lete uhondo mkuu
 
Ni kweli
Ila akina sisi tunaishi kwa imani sanaa . . .ni imani niliyojiwekea tu
 
Wanaume wenzangu watakua wananielewa zaidi hasa tunapokwenda safari za kikazi na tunavyoongea na simu za home na wenzi wetu utajua shetani fundi sana kwenye mapigo yake
 
Unajua mkuu watu wanaweza kujiuliza kwanini tunayaweka haya mambo hapa ,

unajua ni kwa faida ya watu wengine wapo watu wanaamini sana mahusiano yao kuliko kitu chochote

Yaan utakuta mtu anamlia yamini mke au mume kumbe hajui ,anafanya saa ngapi kila akipiga simu yuko om kumbe watu wako juu ya kichuguu wanajilia vyao
 
Ni kweli
Ila akina sisi tunaishi kwa imani sanaa . . .ni imani niliyojiwekea tu
Ni sahihi.... Imeandikwa na nanukuu :
Mwenye kukodisha nyumba ili azini na mke wa mtu.. Wa kwake ataziniwa ndani ya nyumba yake
Mwenye kutumia pesa ili kumdanganya binti wa mwenzie ili azini naye bintiye ataziniwa bure.
Mwisho wa kunukuu.
NB:Si lazima yule uliemzinia ndo alipize
Mzinifu mwenzio ndo atatumika kulipiza.
 
Ni kweli
Ila akina sisi tunaishi kwa imani sanaa . . .ni imani niliyojiwekea tu
Kila mtu ana imani na bila iman mambo hayaendi ila nachokataa zile imani zilizopitiliza mipaka huwa baadae zinaleta madhara makubwa ..

ebu mfano fikiria huyu jamaa anayesalitiwa na mchumba wake siku akija gundua atakuwa na hali gani ?
 
Haya mambo Mkuu hayana formula lakini wako ndani ya ndoa wanaume na wanawake ambao ni waaminifu kupita kiasi pamoja na vishawishi vya kila aina lakini hujizuia sana kuvua picchu kwa kuhofia kumsaliti mwenzie. Namkumbuka jamaa mmoja huyu alikuwa ana bahati ya kupendwa sana na wanawake halafu na yeye alikuwa anampenda mkewe kupindukia. Basi kila wanawake wanapotaka kumtunuku humkumbuka mkewe lol! halafu alikuwa anaanza kusema hivi, "Yule mama ngina akijua nimemsaliti si ataniua jamani au atajiua" kwa kweli pamoja na bahati yake ya kutunukiwa sidhani kama aliwahi kuvua picchu ya mwanamke mwingine. Bahati mbaya mkewe akapata cancer ya kizazi akafariki miaka michache iliyopita. Watu waliowafahamu walisikitika sana maana walikuwa wanapendana kupindukia na mama aliacha watoto wadogo twins wa kike na wa kiume. Jamaa alinyong'onyea sana wengi tulihofia anaweza kufa kwa upweke lakini bado yu hai anadunda lakini uchangamfu wake wote umepotea.

Unajua mkuu watu wanaweza kujiuliza kwanini tunayaweka haya mambo hapa ,

unajua ni kwa faida ya watu wengine wapo watu wanaamini sana mahusiano yao kuliko kitu chochote

Yaan utakuta mtu anamlia yamini mke au mume kumbe hajui ,anafanya saa ngapi kila akipiga simu yuko om kumbe watu wako juu ya kichuguu wanajilia vyao
 
Wanaume wenzangu watakua wananielewa zaidi hasa tunapokwenda safari za kikazi na tunavyoongea na simu za home na wenzi wetu utajua shetani fundi sana kwenye mapigo yake
Hahaha ,

mkuu ni kuomba mungu tu
 
Back
Top Bottom