Kama unahisi asipopokea simu yako wakati huo anachepuka, ina maana akipokea wakati huo hachepuki?

Si huyo jamaa yako
Yani anajua mtu anaelekea kuwa mke wa mtu yeye anamfuck

Ikifika muda wake wa kuoa na akagundua mwanamke anayeelekea kumuoa kuna jamaa anamfuck siku chache kabla ya ndoa hatakiwi kulalamika
Mbona hayo si mambo mageni kwenye "tasnia" ya ndoa? Watu wanasaliti wachumba si tu siku kabla ya ndoa, wengine wanafanya huo uhuni siku ya ndoa kabisa.
Binti anafuatwa saluni hukohuko alikokwenda kutengenezwa na kilakitu kumalizikia saluni kwa kuhongwa best wake na "wahudumu" wa saluni ili "wale jiwe".
Kuna mwingine alirubuniwa na kwenda kuikana ndoa altareni kwamba 'sipo tayari kuolewa na huyu' na ikawa aibu kwa wazazi. Hadithi ni ndefu, lakini hayo mambo mbofumbofu yanatokea sana kwenye mchakato wa kufunga ndoa.
 
Kuna Tukio lilimemtokea jamaa yangu mmoja ,kuna siku alikuwa sehemu na kabint ka moja ,ambapo kalishatolewa barua na mshkaji mmoja,

Na kwakuwa jamaa alikuwa mtu wake wa kitambo,wakapanga kukutana sehemu ,kwa ajili ya kuagana na kupeana mgegedo wa mwisho mwisho,kabla jamaa mwingine ajachukuwa jumla,

kilichotokea ndicho kilinistajabisha pale jamaa alipokuja nihadithia ,

Kuwa katikati ya mgegedo wao,binti akiwa juu ya kifua simu yake iliita ,
Na ili bidi zoezi likatishwe na apokee simu ya mlengwa huku bado akiwa juu,
"Alipoulizwa kuwa yupo wapi ?

Demu alijibu kuwa yuko nyumbani amelela,
jamaan upande wa pili akaridhia na kukata simu na watu kuendelea na mgegedo wao kama kawaida hapa,

Nilichojifunza wengi huwa tunaibiwa kwa namna hii ,na huwa tunahisi kuwa wasipopokea simu ndo wanatusalitii.

Kumbe anaweza pokea simu juu ya kifua akiwa anagegedwa,
Hiyo kawaida sana mkuu.
 
Mbona hayo si mambo mageni kwenye "tasnia" ya ndoa? Watu wanasaliti wachumba si tu siku kabla ya ndoa, wengine wanafanya huo uhuni siku ya ndoa kabisa.
Binti anafuatwa saluni hukohuko alikokwenda kutengenezwa na kilakitu kumalizikia saluni kwa kuhongwa best wake na "wahudumu" wa saluni ili "wale jiwe".
Kuna mwingine alirubuniwa na kwenda kuikana ndoa altareni kwamba 'sipo tayari kuolewa na huyu' na ikawa aibu kwa wazazi. Hadithi ni ndefu, lakini hayo mambo mbofumbofu yanatokea sana kwenye mchakato wa kufunga ndoa.
Sio poa kwa kweli
 
kufuck ndiyo nini joanah?

Si huyo jamaa yako
Yani anajua mtu anaelekea kuwa mke wa mtu yeye anamfuck

Ikifika muda wake wa kuoa na akagundua mwanamke anayeelekea kumuoa kuna jamaa anamfuck siku chache kabla ya ndoa hatakiwi kulalamika
 
Mbona hayo si mambo mageni kwenye "tasnia" ya ndoa? Watu wanasaliti wachumba si tu siku kabla ya ndoa, wengine wanafanya huo uhuni siku ya ndoa kabisa.
Binti anafuatwa saluni hukohuko alikokwenda kutengenezwa na kilakitu kumalizikia saluni kwa kuhongwa best wake na "wahudumu" wa saluni ili "wale jiwe".
Kuna mwingine alirubuniwa na kwenda kuikana ndoa altareni kwamba 'sipo tayari kuolewa na huyu' na ikawa aibu kwa wazazi. Hadithi ni ndefu, lakini hayo mambo mbofumbofu yanatokea sana kwenye mchakato wa kufunga ndoa.
nahisi kama mkuu ungeendelea kufunguka zaidi ya hapo tungeyapata mengi zaidi ya hayoo
 
Haya mambo Mkuu hayana formula lakini wako ndani ya ndoa wanaume na wanawake ambao ni waaminifu kupita kiasi pamoja na vishawishi vya kila aina lakini hujizuia sana kuvua picchu kwa kuhofia kumsaliti mwenzie. Namkumbuka jamaa mmoja huyu alikuwa ana bahati ya kupendwa sana na wanawake halafu na yeye alikuwa anampenda mkewe kupindukia. Basi kila wanawake wanapotaka kumtunuku humkumbuka mkewe lol! halafu alikuwa anaanza kusema hivi, "Yule mama ngina akijua nimemsaliti si ataniua jamani au atajiua" kwa kweli pamoja na bahati yake ya kutunukiwa sidhani kama aliwahi kuvua picchu ya mwanamke mwingine. Bahati mbaya mkewe akapata cancer ya kizazi akafariki miaka michache iliyopita. Watu waliowahamu walisikitika sana maana walikuwa wanapendana kupindukia na mama aliacha watoto wadogo twins wa kike na wa kiume. Jamaa alinyong'onyea sana wengi tulihofia anaweza kufa kwa upweke lakini bado yu hai anadunda lakini uchangamfu wake wote umepotea.
Tafadhali naomba namba zake.
 
Sijui kama una vigezo vya kumfikia mama ngina wake lol! Mama ngina alale mahali pema peponi alikuwa kaumbika sana halafu mpole, mstaarabu na heshima tele.

Tafadhali naomba namba zake.
 
Haya mambo Mkuu hayana formula lakini wako ndani ya ndoa wanaume na wanawake ambao ni waaminifu kupita kiasi pamoja na vishawishi vya kila aina lakini hujizuia sana kuvua picchu kwa kuhofia kumsaliti mwenzie. Namkumbuka jamaa mmoja huyu alikuwa ana bahati ya kupendwa sana na wanawake halafu na yeye alikuwa anampenda mkewe kupindukia. Basi kila wanawake wanapotaka kumtunuku humkumbuka mkewe lol! halafu alikuwa anaanza kusema hivi, "Yule mama ngina akijua nimemsaliti si ataniua jamani au atajiua" kwa kweli pamoja na bahati yake ya kutunukiwa sidhani kama aliwahi kuvua picchu ya mwanamke mwingine. Bahati mbaya mkewe akapata cancer ya kizazi akafariki miaka michache iliyopita. Watu waliowafahamu walisikitika sana maana walikuwa wanapendana kupindukia na mama aliacha watoto wadogo twins wa kike na wa kiume. Jamaa alinyong'onyea sana wengi tulihofia anaweza kufa kwa upweke lakini bado yu hai anadunda lakini uchangamfu wake wote umepotea.
kweli kabisa dah sasa unaona hapo umefunguka kuna kitu nimejifunza aisee hayo yote ulikuwa umeyafutika unayajua ww tu, Dah ningemjuaje mama ngina kwa kweli????
 
  • Thanks
Reactions: BAK
....Hii Mkuu ni tofauti na ile ya njemba ikiwa na mali za mwenyewe mwenye kutembea na bistola kiunoni.

kweli kabisa dah sasa unaona hapo umefunguka kuna kitu nimejifunza aisee hayo yote ulikuwa umeyafutika unayajua ww tu, Dah ningemjuaje mama ngina kwa kweli????
 
Sijui kama una vigezo vya kumfikia mama ngina wake lol! Mama ngina alale mahali pema peponi alikuwa kaumbika sana halafu mpole, mstaarabu na heshima tele.
Sasa wewe ndio baba ngina? Hebu wacha maneno weka muziki.
 
Kwa mwanamke hilo la kawaida sana... Katikati ya gemu anapigiwa simu ya nyumbani atapokea ataongea atamaliza na mtaendela...
 
....Hii Mkuu ni tofauti na ile ya njemba ikiwa na mali za mwenyewe mwenye kutembea na bistola kiunoni.
ile mkuu umeamuwa kuimezea nayo ebu ilete ,edit hata baadhi ya sehemu ili kama wahusika wapo wasijui wape majina kina mama ngina
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kufuck ndiyo nini joanah?
IMG_20170219_215006_275.JPG
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mzee Nyoka wewe kumbe ni king'ang'anizi eeh! Kuna nyingine ziko so unique wahusika kama wamo humu machale lazima yawacheze. Na hawa walipendana kama chanda na pete na sijui nini kilijiri hata hawakuoana.

ile mkuu umeamuwa kuimezea nayo ebu ilete ,edit hata baadhi ya sehemu ili kama wahusika wapo wasijui wape majina kina mama ngina
 
Back
Top Bottom