Kama unahisi asipopokea simu yako wakati huo anachepuka, ina maana akipokea wakati huo hachepuki?

Mzee Nyoka wewe kumbe ni king'ang'anizi eeh! Kuna nyingine ziko so unique wahusika kama wamo humu machale lazima yawacheze. Na hawa walipendana kama chanda na pete na sijui nini kilijiri hata hawakuoana.
hahahaha uku bila ufukunyuku huyapati ya ndani mzee utaishia kulishwa matandu wali wakapewa wengine
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahahaha lol! utandu ule wa juu ndiyo mtamu Mkuu wali waachie wengine :):):) halafu usisahau na ule ukoko wa chini kabisa. Kuna mzungu aliisha omba maelezo ya kupika ukoko wa chini kabisa baada ya kufika kwenye sherehe ya Wabongo akiwa amechelewa akakuta misosi yote imeisha. Mzungu wa watu akaanza kulalama kwamba anapenda party za wabongo huwa zimechengamka sana na msosi mtamu.

Basi akatoka bi dada mmoja kwenda kumtafutia mabaki mabaki ya msosi. Njemba ya kizungu ikakaa pembeni ikajichana na kumaliza msosi wake. Kisha ikamuita yule dada na kuomba recipe ya ukoko wa pilau ili naye akajaribu kutengeneza kwake maana ule ukoko ulikuwa mtamu kupindukia lol!

kumbe eeeeh

ukoko ni mtamu kuliko wali wenyewee maana ww unakula vya juujuu ambaye ni matandu na vya chini chini ambayo ni ukoko....
 
kwa kweli naendelea na mpango wangu wa kutooa mtoto tuu ndo nahitaji hawa viumbe kaeni mbali nami kuhusu ndoa
 
Ndio kama sasa hivi, nimepigiwa simu, jibu nlilotoa najua mwenyewe na ameridhia..but lait angejua.., na hapa nachungulia huku kama kawa! Daah akili zangu zinaakili zake zenyewe!
Duuu watu mabazazi, ila hata huyo mchepuko wako unaempenda ukitoka tu na yy uchepuka mara 190.....
 
Kila mtu ana imani na bila iman mambo hayaendi ila nachokataa zile imani zilizopitiliza mipaka huwa baadae zinaleta madhara makubwa ..
Bora tu umuamini kupitiliza utapumzisha nafsi yako na utakuwa na amini kuliko kujifanya FBI wakati in this case everyone is a suspect utapata maangaiko ya nafsi mpaka utazeeka...

ebu mfano fikiria huyu jamaa anayesalitiwa na mchumba wake siku akija gundua atakuwa na hali gani ?
 
Kila mtu ana imani na bila iman mambo hayaendi ila nachokataa zile imani zilizopitiliza mipaka huwa baadae zinaleta madhara makubwa ..

ebu mfano fikiria huyu jamaa anayesalitiwa na mchumba wake siku akija gundua atakuwa na hali gani ?
Bora tu umuamini kupitiliza utapumzisha nafsi yako na utakuwa na amani kuliko kujifanya FBI wakati in this case everyone is suspect ukifuatilia utapata maangaiko ya nafsi mpaka utazeeka.....
 
Mbona hayo si mambo mageni kwenye "tasnia" ya ndoa? Watu wanasaliti wachumba si tu siku kabla ya ndoa, wengine wanafanya huo uhuni siku ya ndoa kabisa.
Binti anafuatwa saluni hukohuko alikokwenda kutengenezwa na kilakitu kumalizikia saluni kwa kuhongwa best wake na "wahudumu" wa saluni ili "wale jiwe".
Kuna mwingine alirubuniwa na kwenda kuikana ndoa altareni kwamba 'sipo tayari kuolewa na huyu' na ikawa aibu kwa wazazi. Hadithi ni ndefu, lakini hayo mambo mbofumbofu yanatokea sana kwenye mchakato wa kufunga ndoa.
Hah hah hii kiboko hadi saloon.....Kama kweli huyo mwanamke atakuwa na pepo sio bure
 
Bora tu umuamini kupitiliza utapumzisha nafsi yako na utakuwa na amani kuliko kujifanya FBI wakati in this case everyone is suspect ukifuatilia utapata maangaiko ya nafsi mpaka utazeeka.....
shashmita ,kwahiyo unachotaka tuwe tu naiman huku vyetu vinaliwa ,hivi siku ukijua si unajiuwa mtu kwa kwelii
 
Hah hah hii kiboko hadi saloon.....Kama kweli huyo mwanamke atakuwa na pepo sio bure

haya mambo yapo sana ,mimi mwenyewe nishagegedaga bibi Harusi .
kesho anaolewa mie leo nakula mambo...

Acha tu,tulege maana sie itafika wakat navyetu vitaliwa pia
 
Kuna Tukio lilimemtokea jamaa yangu mmoja ,kuna siku alikuwa sehemu na kabint ka moja ,ambapo kalishatolewa barua na mshkaji mmoja,

Na kwakuwa jamaa alikuwa mtu wake wa kitambo,wakapanga kukutana sehemu ,kwa ajili ya kuagana na kupeana mgegedo wa mwisho mwisho,kabla jamaa mwingine ajachukuwa jumla,

kilichotokea ndicho kilinistajabisha pale jamaa alipokuja nihadithia ,

Kuwa katikati ya mgegedo wao,binti akiwa juu ya kifua simu yake iliita ,
Na ili bidi zoezi likatishwe na apokee simu ya mlengwa huku bado akiwa juu,
"Alipoulizwa kuwa yupo wapi ?

Demu alijibu kuwa yuko nyumbani amelela,
jamaan upande wa pili akaridhia na kukata simu na watu kuendelea na mgegedo wao kama kawaida hapa,

Nilichojifunza wengi huwa tunaibiwa kwa namna hii ,na huwa tunahisi kuwa wasipopokea simu ndo wanatusalitii.

Kumbe anaweza pokea simu juu ya kifua akiwa anagegedwa,
Dah!huu ujinga cjui utakoma lin
 
Back
Top Bottom