Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Well said mkuuMi najitahidi nipate basic needs za standards.
Ukishaweza ktk hilo, utajiri uko karibuni.
Lkn kama ndo unaishi na madeni na basic needs ni mbovu, utajiri usikiee humu JF.
Hatusepi tena?Mi najitahidi nipate basic needs za standards.
Ukishaweza ktk hilo, utajiri uko karibuni.
Lkn kama ndo unaishi na madeni na basic needs ni mbovu, utajiri usikiee humu JF.
Ni masaa 8 mkuu sawa na USD 80 kwa siku, unafanya J3 hadi Ijumaa,unapokea 400usd sawa na 1600usd lakini sio chochote ughaibuniUsd 10 per hr ukifanya masaa 10 ni usd 100 per day ryt??
Nikisepa jua nimeenda kuchukua MBAHatusepi tena?
Kakudanganya nanikama nina pesa zangu ulaya siendi na nitabadilisha bongo iwe kama ulaya kwa kutumia pesa hizohizo
kwenye mabano, BONGO KAMA ULAYA
Muulizeni Le Mutuz hana hamu na Ulaya/Marekani
Nikisepa jua nimeenda kuchukua MBA
Sio box tena?Nikisepa jua nimeenda kuchukua MBA
Mbona vikazi vyenyewe vya kishenzi tu hutoki jasho lkn unapata mpunga wa maana!?Mkuu acha hizo, per day unaweza make up to 120 USD, na wanaposema wanalipa kwa lisali usidhani wanahesabiwa kwa masaa nane ina depend unapiga mchongo gani kuna wanaofanya data entry, wanaoosha vyombo, kuna wanaosafisha masehemu , mfano nakumbuka nje ya kazi yangu ya kuajiliwa nilipata kikazi cha kuwa naenda kusafisha sehem ambapo wanapaki magari, watu walikuwa wanavuta sigara wanaweka vipece vibaya , kazi hii niliifanya kila baada ya kutoka kazin kwangu, na ilikuwa 60 USD per hour nafanya 1 hour dailyPart time job nyingine ilikuwa kusambaza business cards na kila cars 1 ni 0.5 USD, hivo nikisambaza 200 kwa siku nina 100 USD, japo nilikuwa sivisambazi ukweli nilikuwa naweka kwenye dustbin naenda kudai mpunga, hahaha wabongo tumelogwa