Kama una stress please read this...

Nilienda kwa mganga wa jadi,baada ya matibabu akawa anadai malipo c ndo nikamuonyesha bima ya afya... Kilichotokea hata mi mwenyewe ckumbuki ila nimejikuta niko Lugalo juu ya bati cjui hata ni nyumba gani ila naona kama wanajeshi kwa chini.
 
UTABIRI WA HALI YA MTOTO WAKO HAPO BAADAYE..
1.Akitumwa hataki kurudisha change, huyo mlipoti haraka takukuru mla rushwa huyo
2.Akikutana na wenzie anajidai kuwa kwao kuna pesa nyingi wakati wewe huna kitu -huyo bongo move.
3.anakatalia kwenye dishi wakati wa kuogeshwa, thank God, huyo atakuwa dereva wa ferry/boat...
4.akitumwa anaomba pesa ya peremende, umepata trafiki hongera...
5.Analala chini ya meza, viti,na hujichafua, huyo fundi makenika...
6.Analala sana Darasani, congratulations! huyo ni Mbunge
7.Ukimchapa nalia lakini ukimuita anakuja bila kuogopa-huyo ni Arsenal wenger.
8.Anabembea kwenye viti ,meza nk.huyo ni kondakta usipoteze muda
9.haogopi giza hata kama ni saa ngapi, huyo atakuwa mlinzi wala usiogope
10.Anakuomba pesa ya pipi anarudi na biskuti huyo wema sepatu huyo
 
W
Wonderful
 
Naona hata vichekesho siku hizi vimekuwa bidhaa adimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…