Kama una stress please read this...

watanzania kwa kupenda sifa! utashangaa anayameza!

hahahahaaaaa huwezi amini mimi nimecheka na hii comment,sio story yenyewe,naimagine jinsi atakavyotoa macho na kimininika chenye chumvichumvi kitakavyomtiririka.

Mtz anaakili, anajua hata pewa adhabu ya kuyameza mazima mazima maana mtoa adhabu ataonekana mwehu.

hii story umeigeuza kidogo, mie niliisikia tukiwa nkurumah hall Udsm wakati tunamuaga prof. Chachage S chachage, hayo matunda yalikuwa yanasokomezwa kwenye 0713.....huyo wa mwisho alikuja na fenes na sio tikiti

kaka nimecheka sana kwani leo nilikuwa na hasira vibaya sana kwani nilinyimwa good moring afrika, basi nilikuwa na hasira na zote zimeondoka, asante dikembe

Nimelala Nikawa Naota... BILL GATE Ananiamsha.."Boss, Boss Amka Chakula Tayari"

....Eti Jaman Hii Sio Dalili Ya Malaria Kweli..??

Mjue Mpaka Sasa Hivi Siamini Kama Nimelala Nchi Moja Na Rooney

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums

KUMSAIDIA MTOTO HOMEWORK

Kusaidia mtoto wa Vidudu Homework ni ngumu sana. Jana nimemuuliza SWALI LA HESABATI "Nina pipi tano, nikiwagawia watoto watatu kila mmoja pipi moja moja nitabakiwa na pipi ngapi?"
Akaniambia Toa kwanza nizione..

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums

Kuna dem niko nae hapa namtongoza, ameniuliza "kwanini namtongoza yeye wakati nna mke wangu?" Na mimi nimemuuliza "kwani ukienda kununua nguo unaenda uchi?"

Anacheka tu hapa nadhani ashanielewa...

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums

Hivi kwanini watanzania wengi wanapenda kujizarau au wanaona kawaida kudharauliwa kwamba wao ni vilaza?

Watanzania mnahitaji deliverance ya mtazamo you are extremely negative towards yourselves.

under nor consideration of comedy.
Safi sana mkuu kwa kuliona hilo, then huyu anapost huo ujinga ni mtanzania na si mtu wa taifa lingine kiukweli wanakela sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kila mzee ana busara
wengine ni wajinga wa zamani wameshazeeka

nafight with my weather

Kwa hiyo kilichomponza mkenya ni dharau zake, aisee Kweli dharau mbaya

sipiti tena yalipo matikiti!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…