Zombieboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 727
- 742
HahahahahahahahahahahahahaaaaaDah lakini hizi mimba hua zinatunyosha
unakuta mwanamke wako ana mimba, na mmeshinda poa 2 mchana mzima, ikifika usiku kitu ka saa sita ivi anakuamsha,
"Bebi nipeleke petrol station niende kunusa petroli"
Mke wangu kwani unazaa Boda boda????