Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

fb3a2552afab91b85f6300f657367fae.jpg
 
Nilimtembelea rafiki yangu Mlengule nyumbani kwake, Mke wake akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama kibao!

Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejaa wali na kachumbari tu.

Baada ya kula nikamuliza Mlengule; Kulikoni watoto wale wali na kachumbari wakati sisi tumekula minyama kibao?

Akajibu kwa kujiamini kabisa; Achana nao hao wapumbavu wanajifanya hawali mbwa
 
Polisi aliwashika watu watatu maskani wakinuka bangi lakini hakujua alovuta ni nani kati yao,... basi akamuuliza wa kwanza "Mechi ya Chelsea na Manchester nani kashinda ? akajibu "Manchester.

"Akamuuliza wa pili " kati ya Mbwa na Paka nani alishinda vita Kati yao? akajibu mbwa .

Akamuuliza wa tatu umejifunza nini kutokana na haya majibu ? akajibu nimejifunza Manchester na Mbwa watacheza fainali.
 
.............................short story(funny/sad).................................
kuna kijana aliiba ma milioni ya pesa na ku kimbia nazo baada ya watu kumuona wakaanza kumfukuzia na yeye alipo lijua hilo akawa anakimbia sehemu ambayo anaweza kupa msaada wa maficho. Baada ya kukimbia kwa mda mrefu na hawa wanao mfukuzia hawa oneshi hali ya kukata tamaa alifika sehemu moja kuna mzee anatengeneza majeneza aka ongeanae yule mzee haraka haraka ili apata maficho na yule mzee aka mkubalia aka mficha kwenye jeneza lenye flow mbili yani maiti zinaingia mbili kwenye jeneza moja juu na chini kwa makubaliano kwamba watu wakija wakitaka jeneza atawapa lile alilopo yule mwizi wetu ili waweke maiti yao kwenye flow ya juu bila wao kujua chini kuna mtu au kuna flow nyingine ya jeneza alafu wakisha zika yule mzee atakuja kumfukua aka mpa na mtungi mdogo wa hewa na jamaa aka kubali. Ghafla baada ya mda kupita jamaa akasikiawatu wanachgua jeneza na wakalichukua lile ambalo yeye alikuandani. Mda sio mrefu akasikia kama kuna mwili unawekwa kwenye flow ya juu bas akajua mabo jamekaribia kuiva na ikaenda kama walivyo panga na yule mzee tena akasikia kabisa anavyo fukiwa akiwa katika lile jeneza na watu wakaondoka sasa baada ya mda kupita hasikii dalili ya msaada ikabidi apindue yule maiti halali wajuu aje chini na yeye aende upande wajuu chakushangaza baada ya kupindua ile flow aka kuta ile maiti ndio ya yule mzee alie sema atakuja kumtoa, jamaa alichoka....................imagine unge kua wewe ungefanyaje????.............
 
.............................short story(funny/sad).................................
kuna kijana aliiba ma milioni ya pesa na ku kimbia nazo baada ya watu kumuona wakaanza kumfukuzia na yeye alipo lijua hilo akawa anakimbia sehemu ambayo anaweza kupa msaada wa maficho. Baada ya kukimbia kwa mda mrefu na hawa wanao mfukuzia hawa oneshi hali ya kukata tamaa alifika sehemu moja kuna mzee anatengeneza majeneza aka ongeanae yule mzee haraka haraka ili apata maficho na yule mzee aka mkubalia aka mficha kwenye jeneza lenye flow mbili yani maiti zinaingia mbili kwenye jeneza moja juu na chini kwa makubaliano kwamba watu wakija wakitaka jeneza atawapa lile alilopo yule mwizi wetu ili waweke maiti yao kwenye flow ya juu bila wao kujua chini kuna mtu au kuna flow nyingine ya jeneza alafu wakisha zika yule mzee atakuja kumfukua aka mpa na mtungi mdogo wa hewa na jamaa aka kubali. Ghafla baada ya mda kupita jamaa akasikiawatu wanachgua jeneza na wakalichukua lile ambalo yeye alikuandani. Mda sio mrefu akasikia kama kuna mwili unawekwa kwenye flow ya juu bas akajua mabo jamekaribia kuiva na ikaenda kama walivyo panga na yule mzee tena akasikia kabisa anavyo fukiwa akiwa katika lile jeneza na watu wakaondoka sasa baada ya mda kupita hasikii dalili ya msaada ihkabidi apindue yule maiti halali wajuu aje chini na yeye aende upande wajuu chakushangaza baada ya kupindua ile flow aka kuta ile maiti ndio ya yule mzee alie sema atakuja kumtoa, jamaa alichoka....................imagine unge kua wewe ungefanyaje????.............
r
Polisi aliwashika watu watatu maskani wakinuka bangi lakini hakujua alovuta ni nani kati yao,... basi akamuuliza wa kwanza "Mechi ya Chelsea na Manchester nani kashinda ? akajibu "Manchester.

"Akamuuliza wa pili " kati ya Mbwa na Paka nani alishinda vita Kati yao? akajibu mbwa .

Akamuuliza wa tatu umejifunza nini kutokana na haya majibu ? akajibu nimejifunza Manchester na Mbwa watacheza fainali.
Ilowa jamaa alizilwa ,je wewe umepataje hizi habari?
 
leo nikiwa na mbwa wangu nikiswaga ng'ombe malishoni, mara ng'ombe mmoja akasimama akakataa kwenda kabisa. Nikatoa bakora nikampa za mgongoni za kutosha ghafla akageuka akasema; "we boya ukirudia tena kunipiga utaona moto"
Aisee dakika mbili zilitosha kabisa kupotea eneo hilo, nilikimbia kwa kasi zaidi ya hussein bolt. Nilipofika Mbali nikasimama nipumzike. Mara mbwa wangu naye kafika anahema kumbe na yeye alikimbia hayo maajabu.
Nikiwa natafakari ni ndoto au nini tangu lini ng'ombe akaongea. Nikawa nasema kwa sauti hii ni ndoto ng'ombe hawezi kuongea.
Nikasikia ka mbwa nako kakisema "bosi wangu hata na mimi nashangaa"
Duh! nilikata network kabisa sasa hivi ndio nimeshtuka watu kibao wamenizunguka.
 
Mtu mmoja alimuuliza mzee wa miaka 80 "tupe siri katika ndoa yenu inayosababisha mpaka leo unamwita mkeo honey, sweetie, dear wakati mshazeeka sana"
Mzee akajibu "kusema ukweli jina lake nimelisahahau, halafu naogopa kumwuliza maana ana gubu sana ndio maana namwita hayo majina"
 
Round 01: use condom
Round 02: dont use condom
Round 03: use condom
Round 04: dont use condom
Round 05: use condom
Round 06: dont use condom

BELIEVE ME HIV WILL BE CONFUSED
 
Back
Top Bottom