Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

-+AfricanBro++-+meme.jpg
 
``AINA ZA USHUZI''


01. Sillent Ninja Killer- Hutoka kwa force kubwa halafu kimya kimya. Harufu yake ni kali sana. Ni nzuri kutumia uwapo katikati ya watu wengi.


02. Diarrheal Thunder- Hutokea mara nyingi unapojiskia kunya halafu ukabana kwa muda mrefu. Pale unapoenda sasa kupupu hutokea ngurumo kama za radi kabla ya kinyesi kushuka.


03. False Alarm- Huja kama vile mavi ila ukienda chooni ndo unajua kuwa ni ushuzi tu.
04. Releasing The Valve (Tester) - Hutokea pale unaposikia msukumo wa hewa tumboni ukiwa katikati ya watu wengi. Ili wasistuke unaachia kidogo kidogo mpaka umalize.


05. Suddenly Fart- Unapocheka sana, kupiga chafya, kukohoa kwa nguvu, kushtuliwa au kubeba kitu kizito unajikuta umekaachia. Uzuri wake hainuki sana.


06. The classic- Huwa na mlio mkubwa halafu ndo ushuzi mkubwa kuliko wote. Ukiwa umekaa na watu ukaachia ukinyanyuka lazima wakuangali nyuma kama hujapasua nguo.
 
Huu uzi nipo page ya 27 ilaa FREYZEM UMETISHAA SANAA MKUU...!! Leo getoo nipo nachekaa tu mwenyewe...ni zaidi ya kupunguz stress nimekuwa ka mwehu...mpaka.nifike 424 aisee nahisi ntakuwa nimeongezaa miaka hata mi5..
 
KIINGEREZA CHA BONGO BUANA:
I saw a mixfire(niliona changamoto)
Students are not read hard they dancing only ball(wanafunzi hawasomi kwa bidii wanacheza tu mpira)
They eat eat only chairfire(wanakulakula tu kitimoto)
They don't want to read grandmother cry(hawataki kusoma bibilia)
Their hearts are sixsix(mioyo yao inasitasita)
They don't want to mix school faith(hawataki kuchanga ada ya shule)
Before to mix they plant a car(badala ya kulipa wanapanda gari)
I agreed to beat the knee to play for our God(niliamua kupiga magoti na kusali kwa Mungu)
After then I snake home(baadaye nilinyooka nyumbani)

Wabongo bhana hatupendagi ujinga
 
Majina ya kukwepa kuitikia Msimu huu wa krismasi na Mwaka Mpya:
Ukisikia mtu ka kuita hivi, usiitike na usijaribu ku-sm ile hata kidogo, utakuja kunishukuru baadae!!

1. Mkubwa
2. Tajiri wangu
3. Boss wangu
4. Kiongozi
5. Mkurugenzi
6. Manager
7. Chief
8. Brigedia General
9. Honey
10. Dear nikuambie kitu..?
11.Mutu Ya Nguvuu
12.Mzee
13.Patroo

Bro Kimbia tena kama hiyo 9 na 10 usigeuke hata nyuma!!
 
Back
Top Bottom