Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,600
- 4,343
wadau natafuta MCHUMBAA
wa kuigawa ili nipate chumba na sebule
wa kuigawa ili nipate chumba na sebule
Nilikutana na demu Nywele Zake za njano nyusi nyeusi lips za blue makucha ya kijani kavaa hereni nyekundu
Ikabidi nijiulize “HUYU NI DEMU AU UPINDE WA MVUA”??
Afadhali kulima mbaazi, kuokota makopo nadhani hiyo ni hatua ya karibu na mwisho!Kilo ya Mbaazi sh 300
Kilo ya chupa za plastik sh 300
Chagua mwenyewe ukalime mbaazi au ukaokote makopo
Hivi ni nani alileta Make Up?
Maana ndiyo aliyeleta mademu matapeli huku nchini
Unakuta Msichana kapost picha anafanana na RIHANNA ila ukikutana naye live anafanana na DROGBA
UnatishaKuna demu kaweka status yake kuwa "wanaume wote mbuzi" nikamuuliza; "Wewe Baba yako umemkatia majani?"
Sasa hivi nikimtumia msg hazipokelewi nahisi kazima simu kwanza anaenda kumkatia majani!
Nmekutana gari yenye plate number PT nikaomba wanipatie pregnant test saivi tunaelekea stakishali nadhan ni kwenye maduka yao
Kuwa mwangalifu na hawa mama zetu wanaoepua sufuria ya moto yenye ugali jikoni kwa kutumia mikono tu.
Akikuzaba kibao utalala ICU wiki nzima