Msomi hewa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 768
- 1,066
*MARA PAAAAP...!!!*
Mpenzi wako mliyeachana jana leo kashinda milioni 100 ya BIKO.....
mimi namfuata
Mpenzi wako mliyeachana jana leo kashinda milioni 100 ya BIKO.....
mimi namfuata
Si ataweka kovu lisilo na mvuto jamani?? Atafute mwingine mwenye jina hilo hilo. hahahaRafik angu kachora tatoo ya jina la dem wake juzi... leo kaskia dem wake anaolewa nipo nae apa tunasubiri pasi ipate moto...
Kipofu aliingia mgahawani na kuketi kwenye kiti.Mmiliki wa mgahawa akaja kumuuliza kipofu unataka chakula gani au nikuLetee menu uode?Kipofu akajibu mimi sioni ila niletee kijiko kichafu ninuse halafu nitaoda.Mmiliki akamletea kijiko kichafu.Kipofu akanusa Halafu akasema mmm wali maharage niletee.Kipofu akala.Mara ya pili akaja mgahawani akaomba kijiko kichafu akanusa akasema mmmm Ugali nyama niletee.Mara ya tatu Kipofu akaja tena.Mmiliki akamwambia Mke wake Rose
Leo nataka kumkomesha huyu Kipofu anajifanya anajuwa kunusanusa.Mmiliki akamwambia Rose chukua hichi kijiko kiingize kwenye chupi yako Halafu nipe.Rose a kafanya kama alivyo agizwa.Mmiliki akachukua kijiko akampelekea Kipofu.Kipofu alivyo nusa akanusa Tena
Akamwambia Mmiliki kumbe Rose anafanya kazi hapa!!
*ujinga ni nn?*
*ujinga ni kumtumia demu mliekutana fb nauli ya kutoka mwanza to dar alafu unasema ktk maisha yako ujawai kubeti*
Jaman jman jman khaaaKama una mdogo wako nyumbani kamaliza form4 na anauwezo wakufanya kazi kwa mshahara wa laki tatu kwamwezi. ka msalimie mwambie mimi sijambo.
Dah! Sijui vuzi litakuwa rangi kwa huyu mrembo.
DuuuuuuuuuuuuuKipofu aliingia mgahawani na kuketi kwenye kiti.Mmiliki wa mgahawa akaja kumuuliza kipofu unataka chakula gani au nikuLetee menu uode?Kipofu akajibu mimi sioni ila niletee kijiko kichafu ninuse halafu nitaoda.Mmiliki akamletea kijiko kichafu.Kipofu akanusa Halafu akasema mmm wali maharage niletee.Kipofu akala.Mara ya pili akaja mgahawani akaomba kijiko kichafu akanusa akasema mmmm Ugali nyama niletee.Mara ya tatu Kipofu akaja tena.Mmiliki akamwambia Mke wake Rose
Leo nataka kumkomesha huyu Kipofu anajifanya anajuwa kunusanusa.Mmiliki akamwambia Rose chukua hichi kijiko kiingize kwenye chupi yako Halafu nipe.Rose a kafanya kama alivyo agizwa.Mmiliki akachukua kijiko akampelekea Kipofu.Kipofu alivyo nusa akanusa Tena
Akamwambia Mmiliki kumbe Rose anafanya kazi hapa!!
daaah*wasukuma wanakaa bafuni dakika30 dakika5 anaoga zilizobaki anasugua yebo*
Kuna mtz mmoja, mkenya mmoja na mganda mmoja walikamatwa na walinzi mipakani wkt wanatoroka nchi zao
Sasa wakaambiwa waende porini kila mmoja alete matunda kumi analolipenda ili kufanya watakachoamriwa
Wakaenda kuchukua mkenya akaja na zambarau kumi akaambiwa azimeze bila kutafuna wala kucheka akaanza kumeza kufika ya kumi akashindwa akaambiwa akae pembeni akaja mganda akiwa na zabibu akaanza kumeza kufika ya pili akacheka sana akaambiwa akae pembeni
Sasa yule mkenya akamuuliza kwanini umecheka wakati ulikua na uwezo wa kumaliza?
Akacheka sana akasema alimwona mtz anakuja na mafenisi
inategemea huyo unaeenda nae nje ya ndoa yuko wap.Kama uko Dar nae yuko Moro,ukipanda magar ya Mbeya,Dodoma,Singida,Mwanza,Bukoba na hat ya hapo Moro utafikatuuu..Wajameni eti ukitaka kwenda nje ya ndoa unapanda magari ya wapi