Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kipofu aliingia mgahawani na kuketi kwenye kiti.Mmiliki wa mgahawa akaja kumuuliza kipofu unataka chakula gani au nikuLetee menu uode?Kipofu akajibu mimi sioni ila niletee kijiko kichafu ninuse halafu nitaoda.Mmiliki akamletea kijiko kichafu.Kipofu akanusa Halafu akasema mmm wali maharage niletee.Kipofu akala.Mara ya pili akaja mgahawani akaomba kijiko kichafu akanusa akasema mmmm Ugali nyama niletee.Mara ya tatu Kipofu akaja tena.Mmiliki akamwambia Mke wake Rose
Leo nataka kumkomesha huyu Kipofu anajifanya anajuwa kunusanusa.Mmiliki akamwambia Rose chukua hichi kijiko kiingize kwenye chupi yako Halafu nipe.Rose a kafanya kama alivyo agizwa.Mmiliki akachukua kijiko akampelekea Kipofu.Kipofu alivyo nusa akanusa Tena
Akamwambia Mmiliki kumbe Rose anafanya kazi hapa!!
 
Dah! Sijui vuzi litakuwa rangi kwa huyu mrembo.

8bd3d245e640c2b77d8c46e35f552e97.jpg
 
Kipofu aliingia mgahawani na kuketi kwenye kiti.Mmiliki wa mgahawa akaja kumuuliza kipofu unataka chakula gani au nikuLetee menu uode?Kipofu akajibu mimi sioni ila niletee kijiko kichafu ninuse halafu nitaoda.Mmiliki akamletea kijiko kichafu.Kipofu akanusa Halafu akasema mmm wali maharage niletee.Kipofu akala.Mara ya pili akaja mgahawani akaomba kijiko kichafu akanusa akasema mmmm Ugali nyama niletee.Mara ya tatu Kipofu akaja tena.Mmiliki akamwambia Mke wake Rose
Leo nataka kumkomesha huyu Kipofu anajifanya anajuwa kunusanusa.Mmiliki akamwambia Rose chukua hichi kijiko kiingize kwenye chupi yako Halafu nipe.Rose a kafanya kama alivyo agizwa.Mmiliki akachukua kijiko akampelekea Kipofu.Kipofu alivyo nusa akanusa Tena
Akamwambia Mmiliki kumbe Rose anafanya kazi hapa!!
Duuuuuuuuuuuuu
 
Kuna mtz mmoja, mkenya mmoja na mganda mmoja walikamatwa na walinzi mipakani wkt wanatoroka nchi zao
Sasa wakaambiwa waende porini kila mmoja alete matunda kumi analolipenda ili kufanya watakachoamriwa
Wakaenda kuchukua mkenya akaja na zambarau kumi akaambiwa azimeze bila kutafuna wala kucheka akaanza kumeza kufika ya kumi akashindwa akaambiwa akae pembeni akaja mganda akiwa na zabibu akaanza kumeza kufika ya pili akacheka sana akaambiwa akae pembeni
Sasa yule mkenya akamuuliza kwanini umecheka wakati ulikua na uwezo wa kumaliza?
Akacheka sana akasema alimwona mtz anakuja na mafenisi
 
317 Reactions
Reply
Back
Top Bottom