Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Nilimtembelea rafiki yangu mpendwa. Mkewe akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama tele.

Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejazwa wali na kachumbari tu.

Baada ya kula nikamuuliza rafiki yangu, *"kulikoni watoto wale wali na kachumbari tu ilhali sisi tumekula minyama kibao?"*

Akanijibu kwa kujianini, *"sasa unategemea nifanye nini ikiwa wanasema wao hawali MBWA?"*

*Bado natapika*
 
Utapike kwani "kabua"sio mboga?Hivi unajua nyama ya kenge ni tamu kuliko ya kuku?Sie hapa Kibiti twala kambare wa Rufiji karibu Yakheee!!!!
 
Jamaa alisikia mwanamke anapiga kelele kwamba anabakwa anaomba msaada kwa sauti sana
Jamaa akaenda kumsaidia kufika kule akakutana na jamaa wawili ambao walienda kumsaidia yule dada wamefungwa mikono na yeye alipofika wakamfunga mikono huku dada anaendelea kupiga kelele za kubakwa maana maumivu ni makali kwake sasa akaja dada mmoja mzuri ambaye alitongozwa na wale watatu waliofungwa akawakatalia, akaja kumwokoa wakamfungua yule wa kwanza wakambaka huyu mzuri
Sasa wale jamaa uzalendo ukawashinda wakapaza sauti na kusema ni zamu yetu kubaka!!!!

Unajua kilichotokea walibakwa wao
 
Mwanamke alimwambia mpz wake kwamba anamzigo wake yaani mimba jamaa akasema utue unipe
Mwanamke akaona hajamwelewa akamwambia sioni siku zangu akamwambia uliziweka wapi? Kama huzioni basi leo n jumapili tafuta nyingine kwa kuanzia hapo
Mwanamke akaona huyu jamaa hanijui akamwambia nina kichefuchefu jamaa akamjibu mzigo wangu hujanipa, siku hujaziona na sasa hv unakichefuchefu kabla hujasema unasikia kufa ngoja nisepe

Kukana mimba n simple sana ila kupata papuchi ndio mtihani
 
Mabinti wa Mtwara sigegedi tena aisee kuna mmoja long time hapa mtaani nilikuwa nakavizia, juzi ndio nikakaona, kumpiga maneno tu yumo sasa shida ikawa sina hela ya gesti, kakakubali nikagegede kwenye pagala, kuingia ndani kuna matofali na mchanga. Ile kuanza mgegedo binti anasema "shika nchanga" mi nikashika mchanga, kakasema tena "chezea nchanga" mi nikaanza kuchezea mchanga, akasema tena "chezea nchanga kama ntoto" mi nikajimwagia michanga kichwani na mgongoni ile tunamaliza nimejaa mchanga mwili mzima kama nilikuwa nacheza judo
Chezea nchanga = chezea shanga
 
hahahahahaaaaa
 
Nilimtembelea rafiki yangu mpendwa. Mkewe akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama tele.

Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejazwa wali na kachumbari tu.

Baada ya kula nikamuuliza rafiki yangu, *"kulikoni watoto wale wali na kachumbari tu ilhali sisi tumekula minyama kibao?"*

Akanijibu kwa kujianini, *"sasa unategemea nifanye nini ikiwa wanasema wao hawali MBWA?"*

*Bado natapika*
hahaha Numbisaaaaaa
 
Ni true story nikiwa form three utaratibu wa shule kwa wale ambao jana hawakufika shule wanaitwa wasogee mbele halafu wengine wanaingia madasani. mwalimu wa zamu mwanaume, na unajua walimu wa kiume huwa wanawamaidi sana wanafunzi wa kiume akaanza nae,
Mwl: Jina lako nani?
Mwanafunzi: Hassan
Mwl: kwa nini jana hukuja shule?
Mwanafunzi: Nilikua naumwa lakini bahati mbaya nimesahau cheti nimekuja NA DAWA. (Utaratibu kama ulikuwa mgonjwa ukionyesha cheti yanaisha)
Kilichotokea wote tuliruhusiwa Mwl akaenda kuita walimu wenzie wa kiume waje watoe dozi kama ya Mwl Msigwa wa Mbeya Day.
 
Kufanana ni noma sana nakumbuka tupo darasa la tatu kuna kijana alikua anaitwa ayub na mwingine yakub ni mapacha siku moja mmoja aliitwa na mwalim akasepa huku mwalim akimuangalia akaruka dirisha la darasa moja akakimbia siku mbili baadae mwalim akaingia darasan akiwa na hasira akamkamata ayub wacha amdunde dogo akawa analia badae akamwambia kwa nn jana ilinitoroka dogo akasema mm nilikua naumwa sjaja shule mwalm kwa hasira akaongeza kichapo badae rafiki zake wakasema mwalim hao wapo mapacha mwinzie hajaja ticha kwa aibu kwa vile ameshamdunda sana dogo akajifanya kukaza akauliza ina maana mm simjui huyu
Siku mbili baadae wakaja wote wawili mwalim akawaona akaanza kuuliza nyie juzi nilimpiga yupi huku anaona aibu watoto hawakujibu mwalim kwa aibu ilibid awaombe msamaha
 
Back
Top Bottom