[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Add caption[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kama una simu inayotumia operating system ya android mfano samsung techno,LG nk unaweza sasa kuunganishwa na internet yenye kasi kubwa na isiyo na kikomo .cha kufanya fuata haya maelezo hapa chini.
kwanza kabisa nenda katika sehem ya apps katika simu yako andika DROIDVPN then utaona kitu kama hiki
basi we ibonyeze na uidownload ina mb1.7 .so baada ya hapo itakupa option ya kuregister yourself so ukisharegester utatumia paswd katika email yako ambapo user name ni email yako then unakifungua hicho kiprogram then unajaza hiyo email na paswd uliyotumiwa.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]
baada ya hapo bonyeza remember me so itabidi ufanye confuguration flani katika hiyo software ambapo utachagua proto option kama UDP yaani kama hivi [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
baaya ya hapo nenda katika portsetting ambapo utajaza kama nitakavyo kuonesha hapa chini
Set UDP port weka 8080
set TCP port weka 443
bind to local port weka 9201
baada ya hapo unakua umefanikiwa kujiunga na internet yenye kasi ila lazima uwe umeweka laini ya voda.
then bonyeza connect
itaconect ila hii iko limited to 100mb so inabidi ulipie kiasi kidogo ili ile unlimited kwa mwezi mzima
nicheki kwa 0688148834 kwa maelezo zaidi