Kama una roho nyepesi usifungue

Kama una roho nyepesi usifungue

Yaani unapandishwa hasira na mtu anaetembea huku yupo chini ya ulinzi tena mikononi ya wenzenu.
Kwakweli kilichosababisha nikaachana na Jeshi ni kutii hamuru za kipumbavu za namna hii.

Niliona kabla sijamtandika mkubwa wangu SMG, ni bora nikaendelee na mishemishe zingine...siku jamii ikistaraabika na kutambua nini maana ya kuwa kwenye vyombo vya ulinzi wenda mjuu wangu atajiunga.
 
Mkuu ulikua umeshapevuka tayari ndio maana ulishindwa.

Wanaofanyia vetting au usaili wanalijua hilo ndio maana ukiachana na wale wanaoajiriwa jeshini kwa ajili ya professional fulani.

Hawa wengine wanachukuliwaga vijana wasiojitambua katika level flani ya utambuzi, utaona wanataka vijana wasiozidi miaka 25 kwanini!? Ili iwe rahisi kuwapika wawe watiifu/nidhamu kwa kivuli cha uzalendo.
 
Back
Top Bottom